Saidi Tuesday
New Member
- Jan 21, 2019
- 4
- 2
Naomba kuuliza kuhusu wanafunzi walio pangiwa kwenda vyuo kwa mwaka huu,nahisi wengi wao wamepangiwa kwenda kusoma course ambazo hawaja panga kusomea katika maisha yao wengine wanaweza wakawa na nia ya kusomea uhasibu na kwenda kutupiwa katika chuo cha ualimu wa shule za msingi.
Swali langu ni kuhusu malipo ya kwenda kusomea hizo course je hawa walio pangiwa kwenda chuo moja kwa moja wanalipa ada sawa na wale ambao hawaja pangiwa na serikali au kuta kuwa na punguzo kwa hawa waliochaguliwa na serikali kwenda kusoma katika hivyo vyuo.
Ahsanteni naombeni ushirikiano wenu kwa mwenye ujuzi wa hili jambo anaweza aka nielewesha.