Tetesi: Kupangiwa vyuo kwa wanafunzi walio maliza kidato cha nne 2019.

Saidi Tuesday

New Member
Jan 21, 2019
4
2
Naomba kuuliza kuhusu wanafunzi walio pangiwa kwenda vyuo kwa mwaka huu,nahisi wengi wao wamepangiwa kwenda kusoma course ambazo hawaja panga kusomea katika maisha yao wengine wanaweza wakawa na nia ya kusomea uhasibu na kwenda kutupiwa katika chuo cha ualimu wa shule za msingi.
Swali langu ni kuhusu malipo ya kwenda kusomea hizo course je hawa walio pangiwa kwenda chuo moja kwa moja wanalipa ada sawa na wale ambao hawaja pangiwa na serikali au kuta kuwa na punguzo kwa hawa waliochaguliwa na serikali kwenda kusoma katika hivyo vyuo.
Ahsanteni naombeni ushirikiano wenu kwa mwenye ujuzi wa hili jambo anaweza aka nielewesha.
 
Ada unalipa kama kawaida ndo maana hata hivyo hawajatoa nafasi ya wengine kuomba
 
Anhaa sawa kwahiyo kama mtu hajapenda kusoma hiyo course hata weza ku apply kwenda chuo kingine
Apply tu kama kawaida p, watatoa muda wa kukomfirm ni chuo kipi utaenda. CBE wameshatoa muda wa kukomfirm, usipofanya hivyo nafasi yako wanaifuta. Hii ni kuhofia, huendi wengine wakaamua vinginevyo..
 
Serikali yetu ni bingwa wa kuhamisha magoli. Kuna vyuo ilikuwa mtoto akichaguliwa serikali ilikuwa inawapa support (ruzuku ya ada) na wewe mzazi unajazia tu. Je hili litakuwepo mwaka huu? Labda ujaribu kupata joining instruction kama zipo tayari waweza jua. Lakini la msingi ni kijana kusoma kile anachotaka. Sasa hii inaweza kuwa ngumu kwa kubadili course au chuo-huwezi kuwa na hakika. Hivyo ni bora kijana aombe upya moja kwa moja chuoni na uwe tayari kumlipia hiyo ada. Wa kwangu alisukumizwa ualimu ambao ni tofauti na ndoto zake.
 
Masiya sidhani kama litakuwepo maana kuna baadhi ya vyuo joining instructions zimesha toka kama IFM&TIA sijaona kipengele kinacho zungumzia kuhusu wanafunzi walio chaguliwa na serikali kwenda kusoma katika hivyo vyuo,ada walizo andika ni zilezile tuu za siku zote.
 
Apply tu kama kawaida p, watatoa muda wa kukomfirm ni chuo kipi utaenda. CBE wameshatoa muda wa kukomfirm, usipofanya hivyo nafasi yako wanaifuta. Hii ni kuhofia, huendi wengine wakaamua vinginevyo..
Kukomfirm ni jambo la msingi sana ila kwa wale walio pangiwa vyuo ambavyo sio chaguo lao ndo inabidi wa apply kutafuta nafasi ya kwenda kusomea wanacho kitaka.
 
Back
Top Bottom