GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,512
- 11,018
Mimi nimemnukuu kama alivyosema au ulitaka nikuwekee alama ya funga semi na fungua semi kama naandika imla?Naona unajionesha wewe ulivyo na uwezo mdogo wa kuchakata mambo. Ni wapi nimebisha? Hivi kwanini mnapenda kukurupuka kama ngiri? Hukuona alama ? Au kwako haina maana?
Bado hapo kapigwa haswa kwenye madirisha, grillsHapa nilitaka kusikia maoni ya watu. Hio gharama ya nyumba ya vyumba viwili (16m) ni realistic au ndio wale motivational speaker?
Poleni na starehe vijana. Kupanga ni kuchagua, sasa utaamua ununua IST huku unaishi kwa baba mwenye nyumba au kujenga kama haka huku unarudi kulala pazuri ukiwa kwenye daladala au bodaboda. Mjumbe hauawi.
Weekend njema.
View attachment 3546913
Ndiyo kwa historia, nimewahi fanya hivo, fundi alitaka 1.4 kuweka madirisha kila kitu chake.
Anapostigi kwenye insta stori yupo kariakoo chimbo ananunua vifaa mwenyeweBado hapo kapigwa haswa kwenye madirisha, grills
Nimeongelea kama angenunua vifaa husika mwenyewe kisha akamlipa fundi ayatengeneze
Nimeongelea grills na milangoA
Anapostigi kwenye insta stori yupo kariakoo chimbo ananunua vifaa mwenyewe
Kaanzisha challenge nyengine ya kujenga ghorofa kwa bajeti ya 180M nyumba iwe full kila kitu hadi swimming pool.
Lower middle?Nikimsikia Jenerali Ulimwengu anasema ukiwa unaishi Dar halafu unaearn less than 6m monthly basi sahamu kununua gari/decent car na kuishi sehemu nzuri.
Well, nadhani hii message inawahusu upper middle class na upper class.
Kwa Tz ukiwa una earn at least 3m-7 wewe ni upper middle class.
8m - 20m hakika wewe ni upper class
20m+ wewe ni wealthy
Upper middle class kwa Tz ni kama 3% - 7% ya watu wote. Hii ni watu 4,500,000 ya watu wote Tz.