Kupanga ni Kuchagua

Kupanga ni Kuchagua

Naona unajionesha wewe ulivyo na uwezo mdogo wa kuchakata mambo. Ni wapi nimebisha? Hivi kwanini mnapenda kukurupuka kama ngiri? Hukuona alama ? Au kwako haina maana?
Mimi nimemnukuu kama alivyosema au ulitaka nikuwekee alama ya funga semi na fungua semi kama naandika imla?
 
Nikimsikia Jenerali Ulimwengu anasema ukiwa unaishi Dar halafu unaearn less than 6m monthly basi sahamu kununua gari/decent car na kuishi sehemu nzuri.

Well, nadhani hii message inawahusu upper middle class na upper class.

Kwa Tz ukiwa una earn at least 3m-7 wewe ni upper middle class.

8m - 20m hakika wewe ni upper class

20m+ wewe ni wealthy

Upper middle class kwa Tz ni kama 3% - 7% ya watu wote. Hii ni watu 4,500,000 ya watu wote Tz.
 
Hapa nilitaka kusikia maoni ya watu. Hio gharama ya nyumba ya vyumba viwili (16m) ni realistic au ndio wale motivational speaker?
Bado hapo kapigwa haswa kwenye madirisha, grills
Nimeongelea kama angenunua vifaa husika mwenyewe kisha akamlipa fundi ayatengeneze
 
Poleni na starehe vijana. Kupanga ni kuchagua, sasa utaamua ununua IST huku unaishi kwa baba mwenye nyumba au kujenga kama haka huku unarudi kulala pazuri ukiwa kwenye daladala au bodaboda. Mjumbe hauawi.
Weekend njema.
View attachment 3546913

Jenga mjengo kama huu kwenye video kwa mil 16 na laki 8 tu tajiri...(kwa sauti ya muuza IST kwa mil 16 na laki 8)...
 
Kutafuta maisha uku unafanya starehe kwa wakati mmoja lazima moja lipotee au iwe miujiza ya mungu
 
Ndiyo kwa historia, nimewahi fanya hivo, fundi alitaka 1.4 kuweka madirisha kila kitu chake.
Nikanunua material akatengeneza material zikabaki jumla alitumia 1.1mil
 
A
Bado hapo kapigwa haswa kwenye madirisha, grills
Nimeongelea kama angenunua vifaa husika mwenyewe kisha akamlipa fundi ayatengeneze
Anapostigi kwenye insta stori yupo kariakoo chimbo ananunua vifaa mwenyewe

Kaanzisha challenge nyengine ya kujenga ghorofa kwa bajeti ya 180M nyumba iwe full kila kitu hadi swimming pool.
 
A
Anapostigi kwenye insta stori yupo kariakoo chimbo ananunua vifaa mwenyewe

Kaanzisha challenge nyengine ya kujenga ghorofa kwa bajeti ya 180M nyumba iwe full kila kitu hadi swimming pool.
Nimeongelea grills na milango
 
Nikimsikia Jenerali Ulimwengu anasema ukiwa unaishi Dar halafu unaearn less than 6m monthly basi sahamu kununua gari/decent car na kuishi sehemu nzuri.

Well, nadhani hii message inawahusu upper middle class na upper class.

Kwa Tz ukiwa una earn at least 3m-7 wewe ni upper middle class.

8m - 20m hakika wewe ni upper class

20m+ wewe ni wealthy

Upper middle class kwa Tz ni kama 3% - 7% ya watu wote. Hii ni watu 4,500,000 ya watu wote Tz.
Lower middle?
Middle?
Lower?
Dadavua hapo tafadhali
 
Back
Top Bottom