Kupanga ni kuchagua, sijui tunafeli wapi: ATCL tunapenda mfanikiwe

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
ATCL kuwa na connection duni kwenda Kia toka Kanda ya Ziwa. Garama juu na muda zaidi ya masaa 8 ama siku kwa route ya saa moja! Hata wasio wataalam walishauri tuanze focus ndege ndogo na za kati kwa usafiri wa ndani na majirani.

Bora hata Precision route zao wapo makini na udogo wao.

Screenshot_20200219-154501.jpeg
Screenshot_20200219-154227.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATCL kuwa na connection duni kwenda Kia toka Kanda ya Ziwa. Garama juu na muda zaidi ya masaa 8 ama siku kwa route ya saa moja! Hata wasio wataalam walishauri tuanze focus ndege ndogo na za kati kwa usafiri wa ndani na majirani.

Bora hata Precision route zao wapo makini na udogo wao.

View attachment 1366337View attachment 1366338

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unapotosha? Zipo flight za direct. Wewe umechagua ya kuzunguka. Bado wewe ni mshamba kweli kweli kwenye mambo ya usafiri wa anga. Unapo-search ticket online kwenye shirika lolote unapata option nyingi, nyingine unaweza kuzunguka na kukaa njiani sana. Ni juu yako kuchagua ile unayoona inafaa kwako. Ni jambo la kawaida kabisa.
 
Back
Top Bottom