Kupanga matokeo

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,748
Reaction score
7,023
Nina imani mu wazima,

Tafadhali naomba msaada wa kupanga matokeo ya mtihani kuanzia mtu wa kwanza hadi wa mwisho,
mpaka sasa nimeshaandika randomly hayo majina 263 na alama zao kwa masomo manne, nimeweza kutafuta jumla ya alama na wastani.

Sasa kupanga nafasi zao ndio nashindwa, ninatumia word Excel, window 2003 msaada tafadhali!
 
unatumia word na excel? kama yako kwenye excel, chagua column ya alama kisha sort either ascending ama descending
 
unatumia word na excel? kama yako kwenye excel, chagua column ya alama kisha sort either ascending ama descending

haikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…