zunya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 1,529
- 1,073
Nmesikiliza vizuri hotuba ya mama aliyoitoa akiwa ziara Jeshi la Magereza Tanzania. Hotuba ile ukiachana na mambo mengine amezunguzia juu ya kutoajiri askari wapya na kuongelea juu ya suala la upandishwaji vyeo kwa askari na maafisa wa jeshi hilo.
Akaenda mbali kwa kjjinasibu kua yeye ndio mpandishaji vyeo, ana akiamua hatapandisha vyeo askari yeyote yule kwa sababu kutakua na wingi wa askari wenye vyeo na watendaji watapungua.
Ukienda fikiria kwa undani kabisa, ni kwamba askari hawa hawataweza kupanda mshahara kwa sababu, ili mtu apande mshahara ni lazima apande cheo, ukimnyima haki yake ya msingi ya kuoanda cheo maana yake ni kua umemnyima haki yake nyingine ya kupanda daraja la mshahara.
Sheria ziko wazi, kua mtumishia wa uma lazima apande cheo labda akiwa na matatizo yake yanayomnyima fursa ya kupanda cheo, ili si maono ama busara ya mtu kumpandisha mtu cheo, kupanda cheo sio hisani ila ni takwa la kisheria.