Kupanda mlima Kilimanjaro

Kupanda mlima Kilimanjaro

Kama zilivyo biashara nyingine,faida huwa haikosekani,japokuwa ni kidogo sana kwa watanzania,huwa tunapata pesa za kuendesha familia kutoka kwa wageni wa nje ya nchi.Tanzania Tours Directory

Kwenye hyo 350k kuna kahela kake ka juu watot wake wasife njaa-njie mnaofa hyo safar ya mliman mnatoka kampun gan?
 
Msiwe wapuuzi wadanganyika. Hiyo gharama ni nafuu sana. Cost halisi za kupanda mlima ni kubwa ukilinganisha na hii ya hawa jamaa. Mm sina pesa lakini still naafiki na bei.
Kwa mnaoweza mjaribu kutafuta uzi wa zamani uliowahi kuelezea mchanganuo mzima wa kupanda Mt. Kili kisha mjionee. Tusiwe watu wakupinga pinga tu ovyo.
 
Heri yako unayejua, wale mnao ona bei ni ghali hebu tembelea website ya Lady Jay dee,uone last year alipanda kwa kiasi gani yeye na timu yake.? Kama niivyosema mwanzo wewe ukiona ghali wenzio wanaojua wana ona nafuu.!

Msiwe wapuuzi wadanganyika. Hiyo gharama ni nafuu sana. Cost halisi za kupanda mlima ni kubwa ukilinganisha na hii ya hawa jamaa. Mm sina pesa lakini still naafiki na bei.
Kwa mnaoweza mjaribu kutafuta uzi wa zamani uliowahi kuelezea mchanganuo mzima wa kupanda Mt. Kili kisha mjionee. Tusiwe watu wakupinga pinga tu ovyo.
 
Habari za sikukuu ya Pasaka?

Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6.

Wanakaribishwa watu wote wenye mapenzi ya kuona vivutio mbalimbali tulivyojaliwa na Mungu hapa Tz,safari hii ya kupanda mlima itahusisha watu kutoka mataifa mbalimbali kama Urusi nk

Gharama ni laki tatu na hamsini tu ikijumlisha kiingilio,chakula,sehemu ya kulala,mpagazi na watakaofika kilele cha mlima watapewa CHETI cha ushindi.

Gharama haziushishi kulala Moshi kabla na baada ya kupanda mlima,vifaa vya kupandia mlima kama viatu,sticks nk(unaweza kukodi vifaa vyote kwa elfu sabini tu.

Wahi mapema kuna nafasi chache zimebaki,mwisho wa kujiandikisha ni 15 Mei 2014.
Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net

Usiwe na magonjwa kama Kisukari,TB,Pumu (Uwe na afya njema)

"KUWA MZALENDO TANGAZA UPENDO"
wasikukate moyo tupo wengi tutakaofikausijali kijana kazi nzuri!
 
Naona watu wasiojua gharama halisi za kupanda mlima Kilimanjaro hapa wanakuja na upotoshaji na kukatisha tamaa bila sababu,kwanza park fees pekee kwa siku 6 ni 87,000 km sijakosea sana.
Entry fee ni 10,000*6=60,000
Hut fee ni 5,000*5=25,000
Rescue fee. 2,000*1=2,0000
Hapo bado transport 2 ways,chakula,porters,wapishi na guides,kwangu Mimi kwa hiyo 350,000 bado ni nafuu sana na hakuna sababu ya kumkatisha mleta mada tamaa,ndio maana haishangazi Wakenya wengi ndio wanapanda mlima wetu na huwa wanalipa 33,000 Ksh (627,000 Tsh) kwa package ya 6 days.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanza niseme wewe huna pesa ya mimi kukutapeli,pili inaonekana ni wa kulelewa huwezi toa hiyo pesa laki tatu na nusu.
Sawa menu unaweza kupewa lakini wewe huna hizo pesa za kulipa,sasa upewe Menu ya day to day (na siyo day by day) kama wewe ulivyoandika,hata kiingereza cha kitoto kinakushinda.??
Hili zoezi la kupanda mlima sio lazima upande na kampuni yangu,tafuta kampuni nyingine utakayokubaliana nayo masharti na vigezo vyako. Katika group zote ninazopeleka mlimani watanzania ni 2% angalia moja kati ya wageni wangu,japokuwa wengine hawapo kwenye video https://www.youtube.com/watch?v=a8rPnJI0GVM
Kama huu ni wizi na utapeli peleka kesi polisi.!

Wewe ni bwana mdogo sana hujajua hata kutumia jamvi. Tena unapoandikiwa kitu na mtu jamvini angalia umri wake jamvini. Jifunze kwanza kuongea kabla ya kuongelea jambo. Tena inaonesha wewe ni mwenye IQ kiduchu na biashara unakurupuka. Principle ya kwanza ya biashara uliyoivunja "Biashara Haigombi" sasa wewe unagomba si utakuwa tabularaza?
 
Taratibu mkuu kujifunza hakuna mwisho!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wabongo bwana..hiyo ndo price ya kupanda mlimani kwa Mtanzania,its not easy money, huwezi lipa mtu guide 5000 na cjui prices gani za ajabu za kupanda kule juu,..ukiwa unapanda we unaenda kama ulivyo na bag pack ndogo ya blankets na snacks,kila kitu kingine unabebewa,unapikiwa,utabebwa ukiumwa..msitanie nyie...tht price z fair,watalii pay thousands of dollars to make it up there..
 
Wewe unayejua biashara fanya. Wewe kutangulia kuwa member JF, unahisi kuwa utakuwa umenizidi kitu.? Acha kujidanganya wenzio tunatumia forum za kimataifa kama [FONT=Arial, sans-serif]Делимся контактами гидов для сафари Кения, Танзания, Уганда - Страница 4 • Форум Винского[/FONT] na nyinginezo na tunapata wageni kama kama wewe unadhani unaweza kunifundiha biashara ya Utalii?. Usijaribu sumu kwa kuonja..!!
Wewe ni bwana mdogo sana hujajua hata kutumia jamvi. Tena unapoandikiwa kitu na mtu jamvini angalia umri wake jamvini. Jifunze kwanza kuongea kabla ya kuongelea jambo. Tena inaonesha wewe ni mwenye IQ kiduchu na biashara unakurupuka. Principle ya kwanza ya biashara uliyoivunja "Biashara Haigombi" sasa wewe unagomba si utakuwa tabularaza?
 
Asanteni wote mlionitumia emails za kutaka kuungana nasi kupanda mlima,kumbukeni watakaowahi kulipa ndio watakaopewa kipaumbele,nafasi ni chache.(Tuna idadi maalum ya wapandaji)

Habari za sikukuu ya Pasaka?

Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6.

Wanakaribishwa watu wote wenye mapenzi ya kuona vivutio mbalimbali tulivyojaliwa na Mungu hapa Tz,safari hii ya kupanda mlima itahusisha watu kutoka mataifa mbalimbali kama Urusi nk

Gharama ni laki tatu na hamsini tu ikijumlisha kiingilio,chakula,sehemu ya kulala,mpagazi na watakaofika kilele cha mlima watapewa CHETI cha ushindi.

Gharama haziushishi kulala Moshi kabla na baada ya kupanda mlima,vifaa vya kupandia mlima kama viatu,sticks nk(unaweza kukodi vifaa vyote kwa elfu sabini tu.

Wahi mapema kuna nafasi chache zimebaki,mwisho wa kujiandikisha ni 15 Mei 2014.
Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net

Usiwe na magonjwa kama Kisukari,TB,Pumu (Uwe na afya njema)

"KUWA MZALENDO TANGAZA UPENDO"
 
Habari za sikukuu ya Pasaka?

Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6.

Wanakaribishwa watu wote wenye mapenzi ya kuona vivutio mbalimbali tulivyojaliwa na Mungu hapa Tz,safari hii ya kupanda mlima itahusisha watu kutoka mataifa mbalimbali kama Urusi nk

Gharama ni laki tatu na hamsini tu ikijumlisha kiingilio,chakula,sehemu ya kulala,mpagazi na watakaofika kilele cha mlima watapewa CHETI cha ushindi.

Gharama haziushishi kulala Moshi kabla na baada ya kupanda mlima,vifaa vya kupandia mlima kama viatu,sticks nk(unaweza kukodi vifaa vyote kwa elfu sabini tu.

Wahi mapema kuna nafasi chache zimebaki,mwisho wa kujiandikisha ni 15 Mei 2014.
Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net

Usiwe na magonjwa kama Kisukari,TB,Pumu (Uwe na afya njema)

"KUWA MZALENDO TANGAZA UPENDO"

Kuna jamaa yangu anapenda kushiriiki shida anavuta sigara pkt 2 kwa siku!!! Ataweza kweli?
 
Kuvuta sigara siyo shida kubwa,ikiwa hana magonjwa kama TB,KISUKARI,PUMU na yupo fiti,njiani atapata muda wa kupumzika na kuvuta sigara zake.

Kisukari kina shida gani mkuu? Ninacho na nimewahi kupanda Meru, hebu nidadavulie kidogo
 
Wagonjwa wengi wa KISUKARI wana kula vyakula maalum walivyoshauriwa na daktari,sasa kwa jigrafia ya mlima Kilimanjaro si rahisi kupata vyakula vyote hivyo,pia wengi wao huchoka mapema sana kwa hiyo huenda wakawa mzigo kabla ya kufika kileleni. Kikubwa inategemea na hali ya ugonjwa wako,kama haujakuathiri sana bado una nafasi ya kufanya mambo mengi bila shida kama kazi ngumu kama kupanda mlima nk.

Asante mkuu
 
Habari za sikukuu ya Pasaka?

Napenda kuutanganizia umma kuwa kutakuwa tukio la kupanda mlima Kilimanjaro 5895 MT, tarehe 9 mwezi wa SITA mwaka 2014 kupitia njia ya Marangu kwa siku 6.

Wanakaribishwa watu wote wenye mapenzi ya kuona vivutio mbalimbali tulivyojaliwa na Mungu hapa Tz,safari hii ya kupanda mlima itahusisha watu kutoka mataifa mbalimbali kama Urusi nk

Gharama ni laki tatu na hamsini tu ikijumlisha kiingilio,chakula,sehemu ya kulala,mpagazi na watakaofika kilele cha mlima watapewa CHETI cha ushindi.

Gharama haziushishi kulala Moshi kabla na baada ya kupanda mlima,vifaa vya kupandia mlima kama viatu,sticks nk(unaweza kukodi vifaa vyote kwa elfu sabini tu.

Wahi mapema kuna nafasi chache zimebaki,mwisho wa kujiandikisha ni 15 Mei 2014.
Mawasiliano: 0787140432 au tours@infotanzania.net

Usiwe na magonjwa kama Kisukari,TB,Pumu (Uwe na afya njema)

"KUWA MZALENDO TANGAZA UPENDO"
cku nkija huko ntakucheki mkuu,napenda sana tour ya mlima ingawa sijawahi fanya,ntakutafuta ili uniongoze ktk hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom