Ndugu unajielewa kweli....unajua unachotaka kufanya?? Kwaakili kama hii hiyo Group itakuwa ya namna gani....utafanikiwaje bila kujifunza kwa waliowahi kufanya hizo Project huyo ndg
@Malila ungejua kwa kiasi gani amekuwa msaada hapa jukwaani kwenye mambo ya Ujasiliamali usingetokwa Povu nadhani ungemuomba awasaidie Ushauri kutokana na Uzoefu wake.....sasa weee unaleta ujuaji Kumbe hujui kitu duh.....