Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,237
- 11,646
Ungemalizia hapo iliyoongezeka ni trilioni 10.Kwa mwaka 2015, kiwango cha kubadilisha fedha kilikuwa takriban:
1 USD ≈ 2,000–2,200 TZS (Tsh)
Sasa tukibadilisha trilioni 50 TZS kuwa dola za Marekani:
50,000,000,000,000 ÷ 2,200 ≈ 22,727,272,727 USD
Hii ni sawa na takriban dola bilioni 22.7 kwa makadirio ya mwaka 2015.
(Kiwango halisi kilitegemea soko, benki na muda husika.)
Kulingana na viwango vya kubadilisha fedha vya hivi karibuni, dola 1 ya Marekani (USD) inalingana na takriban shilingi za Kitanzania (TZS) 2,655.
Kwa hivyo, dola za Marekani 22,727,272,727 zinakuwa sawa na:
22,727,272,727 USD × 2,655 TZS/USD = 60,353,454,090,785 TZS
Hii ni takriban shilingi trilioni 60.35
Me nadhani tusipotoshe Umma unapokopa katika Dola nautakapoanza kulipa sio kweli deni linaongezeka in number kama ulivyoainisha bali utatumia pesa mingi kulilipa kwa hayo mabadiliko ya dola lakini mnajichanganya sehemu moja pia mnauambia umma huo huo kua shilingi inaimairika hii inamaanisha dola ulizokua ukizipata na shilingi nyingi niaka kadhaa iliyopita utazipata kwakutumia shilingi chache kwa sasa sasa tulizeni akili mnapoleta taarifa katika umma msije kudhani mna deal na masisiemu tupu ambayo yanakubali kila kitu pasipo kuuliza jipangeni unless mtuambie kuna mfumuko wa bei na mdodororo wa sarafu yetu hivyo vinatuongezea gharama katika ulipaji wa deni ila ukutuambia eneo moja mnafanya vizuri na uchumi kukua above average ya Dunia nikutukosea heshima walipa deni.View attachment 3385981
Hivi unafahamu kuongezeka kwa thamanI ya Dolllar ya Marekani kivyovyote kuna athari kubwa katika deni la taifa?
Hili jambo wengi hawalifahamu na hata wakilifahamu wanaona kama halina athari lakini ukweli nikwamba deni linakopwa kwa USD , na malipo yake hufanyika kwa fedha hiyo hiyo .
Sasa tuchukulie deni lilikuwa triliin 50 mwaka 2015 wakati dollar ikiwa 2200 leo ukilipa au kutaja deni hilo litakuwa limeongezeka automatic kwakuwa sasa dollar ni 2665 na kama ukilipa itakuhitaji kulipa Trilion 60, hapo ni bila riba hilo ongezeko limetokana na thamani iliyoongezeka kwa USD.
Jambo hili nimuhimu lisemwe pia
Nikweli mkuuRekebisha hapo, Sio kupanda kwa Dollar, Ni kuporomoka kwa Tsh. zidi ya Dollar, Hii inaleta tafsiri sahihi kua ni tatizo la ndani la sera mbovu za kiuchumi zinafanya shilingi yetu iporomoke.
Anakwepesha ukweli kwa kusema Dollar imepanda ili muone sio makosa ya Serikali yake
Ndio mkuuUngemalizia hapo iliyoongezeka ni trilioni 10.
Dah, pesa nyingi sana hii..
Kweli mkuuRiba mnayoilipa ndio kichaa zaidi kwa deni kubwa namna hilo
Hii ni kausha Moyo sio damu tena
Lakini matamshi ya Trump kusema ana majina kama manne ya kumrithi Jerome Powell kumesababisha $ kushuka
Huku £ leo Baada ya kauli hiyo unabadili kwa $1.37
Wachambuzi na wana Uchumi mnasemaje
Nimetuma leo hela home, nacheka tu hapaKweli mkuu
DuhNimetuma leo hela home yaani nacheka tu hapa
Yaani £1 ni sh 3,578
Sasa imagine £10,000