Hio tiketi ya kwenda mkoani?
Mabosi wa sumatra ndio hao hao wa uda usitegemee mabadiliko.
Kuna route ya kutoka mnazi mmoja adi kivukoni hii ni kuwaumiza wananchi tu uroho wa pesa
Na gari za uda na madereva wake wanaringa sana
Huyu Kisena ana nguvu kuliko serikali.[/ Akigombea ubunge alimtwanga OCD hakuna kesi
Huyu Kisena ana nguvu kuliko serikali.[/ Akigombea ubunge alimtwanga OCD hakuna kesi
Naikumbuka hiyo. Jamaa noma sana
Hili la uda ni tatizo;
Wanafanya ruti wanayoona haina folen;
Ukiuliza wanasema ni mabasi ya wakubwa;
Ni heri kabisa UDA isiwepo kama wameshindwa
kuweka rangi za roti.
CEO wa zamani SUMATRA Mr.Sekilasa alijifanya kukomaa na sheria hata mali za wakubwa mwishowe alishia kipindi kimoja tu, hakuongezewa kipingi kingine cha miaka mitano