Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Una muda gani hujala nyama? isije ikawa njaa zako tu!nimeota nakula nyama mapande ya nguvu,ila sijui hata ni nyama gani,nashtuka nakuta tumbo limejaa,i mean nimeshiba.
Ile imani ya kwamba ndoto za aina hii zinakuaga na uhalisia yaweza kuwa kweli? mana naskia hadi kichefu chefu....K@$?#!6E....
Tarajia mafanikio makubwa yatayokutosha wewe na ukoo wako.nimeota nakula nyama mapande ya nguvu,ila sijui hata ni nyama gani,nashtuka nakuta tumbo limejaa,i mean nimeshiba.
Ile imani ya kwamba ndoto za aina hii zinakuaga na uhalisia yaweza kuwa kweli? mana naskia hadi kichefu chefu....K@$?#!6E....
Ndugu hatugombani ila ukweli utabaki kuwa ukweli.Mungu anapomuonesha mtu kuwa mbele yako kuna neema zipo ishara za vitu ambavyo humuonesha ktk ndoto kama ifuatavyo.Tarajia mafanikio makubwa yatayokutosha wewe na ukoo wako.
Hakuna uchawi hapo.
Kuota unaka nyama haina maana ni wachawi...
Sikia ndoto hutokana na source 3
Mungu....kusema na wewe.
Shetani...kukuonesha mipango yake mibaya juu yako...na hiii inatokea pale ambapo Anakuwa amebanwa na walinzi wa Mwanadamu...hivyo shetani hulazimishwa akioneshe mipango yake mibaya ili wewe uweze kuiepuka..
3.Mawazo yako mabaya au mazuri huleta ndoto.
Narudia ...Anza kusali sana...na omba Sasa hizo baraka za kishibishwa vinono zikiujilie upesi...
Utaanza kuwa na utosherevu wa kuyosha
Yani wewe
Uyakuja siku moja unishukuru
Usiikemee hyo ndoto
Sio ndoto mbaya.
Sema wanadamu wamekalili tafsiri walizosoma kwrnye Vitabu vya kina Mwingira na Gwajima...
Nasubiri majibu.Duuu mbona nyingi sana hapo nshaota kwa nyakati tofauti,kwa hyo hayo yote nnayo!?
Mimi nimeota ninakulamahindi ya kuchoma.Ndugu hatugombani ila ukweli utabaki kuwa ukweli.Mungu anapomuonesha mtu kuwa mbele yako kuna neema zipo ishara za vitu ambavyo humuonesha ktk ndoto kama ifuatavyo.
1.kuna kuona mazao yamestawi yaani kijani kibichi.
2.kuna kuona unafungulia bomba maji.
3.kuna kuona unakunywa maziwa.
4.kuna kuona unapanda ngazi au ghorofa.
5.na ishara nyinginezo.
Nakataa kabisa kuwa kula nyama ndotoni ni neema haipo kabisa tena sahau.Soma vizuri biblia utajua vema nini maana ya damu na nyama.
Muda wa kufanikiwa ukifika Mungu atamwambia lakn kwa sasa anachoambiwa ni kinyume na usemacho wewe.
Kila ndoto ina maana hakuna ndoto ya bahati mbaya.Mimi nimeota ninakulamahindi ya kuchoma.
Je, nitasubiri milele?
Mimi sio Sheikh kuna mtu aliwahi nitumiaNasubiri majibu.
cc Belo (Sheikh)
nimekupata mkuuMimi sio Sheikh kuna mtu aliwahi nitumia