Ndoto ya primary mda mwingine inamaanisha una msingi mbovu sana wa kifikra juu ya jambo ambalo unataka kulifanya, na ukilifanya utafeli
Ndoto ya shuleni juu ya somo husika ni fumbo ambalo limefichwa kwenye fikra zako na lina nafasi kubwa sana ya wewe kufanikiwa inamaana mafanikio yako kwenye maisha yanategemea sana wewe kulitatua hilo fumbo
Mara nyingine ndoto ya uko shuleni maana yake mafanikio yako yanakwamishwa sana kwenye fikra zako juu eneo ambalo unaloota
Mim nilikua naota nafail mtihani wa hesabu almost more than 100 times au naingia kwenye mtihani ila naibia wenzangu ila still hili fumbo bado sijaweza lifumbua
Na pia nilikua naota ndoto nafail masomo ya kiswahili na kingereza nashukuru Mungu hii nimeweza kutatua hili fumbo au kutegua hiki kitendawili