Kabisa boss...
Ukiota upo shule tena katika ngazi ambayo ulishaipita, hiyo ni dalili ya kurudi nyima kimaisha. Ni maono unapewa.
Kuna ndoto kama marudio ya kile kitu umekuwa ukiwaza kwa muda mwingi wakati ukiwa macho na ndoto kama njia ya Mungu kusema na wewe kiumbe wake. Ukichanganya haya unapotea.
Nimewahi kuota ndoto mara tatu katika hali tofauti ila zikiwa na ujumbe mmoja, nilipuuzia, kumbe nilikuwa naoneshwa kitu.
Nakubali
Maana ya ndoto hiyo ni kwamba kuna mtu anakurudisha nyuma kwa kutumia ushirikina. Kama zinakukuta wahi mapema atakuharibia. Anakuloga ili usiendeleeNimeamini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushindwa vibaya kimaisha na kuota ukiwa shule.
Kila siku huwa naota nikiwa shule na mara nyingi wakati wa mitihani na mara zote matokeo huja vibaya.
Kwenye maisha halisi sasa..vita ni kubwa sana
Kwani humu kuna mtu anaota akiwa shule na muda huo maisha yake yapo safi?
Mkuu Sasa hapa unakua unarudi nyuma kivip,Maelezo zaidi tafadhari
Ukiota upo shule tena katika ngazi ambayo ulishaipita, hiyo ni dalili ya kurudi nyima kimaisha. Ni maono unapewa.
Kuna ndoto kama marudio ya kile kitu umekuwa ukiwaza kwa muda mwingi wakati ukiwa macho na ndoto kama njia ya Mungu kusema na wewe kiumbe wake. Ukichanganya haya unapotea.
Nimewahi kuota ndoto mara tatu katika hali tofauti ila zikiwa na ujumbe mmoja, nilipuuzia, kumbe nilikuwa naoneshwa kitu.
hii sio chai,naona ni common scenario kwa watu wengi nikiwemo mimi hapo awali. sijui kama ni roho za kutofanikiwa zinakuwa windoniNimeamini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushindwa vibaya kimaisha na kuota ukiwa shule.
Kila siku huwa naota nikiwa shule na mara nyingi wakati wa mitihani na mara zote matokeo huja vibaya.
Kwenye maisha halisi sasa..vita ni kubwa sana
Kwani humu kuna mtu anaota akiwa shule na muda huo maisha yake yapo safi?
Kuota upo darasani unafanya mtihani na unafeli au haumalizi kujibu mana yake Ni unataka kuanzisha jambo jipya kimaisha au unatamani kuwa katika Hali Fulani kimaisha,kufeli au kushindwa kujibu mtihani nikushindwa mipango yako kimaisha na kijamii.Nimeamini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushindwa vibaya kimaisha na kuota ukiwa shule.
Kila siku huwa naota nikiwa shule na mara nyingi wakati wa mitihani na mara zote matokeo huja vibaya.
Kwenye maisha halisi sasa..vita ni kubwa sana
Kwani humu kuna mtu anaota akiwa shule na muda huo maisha yake yapo safi?
Mkuu Sasa hapa unakua unarudi nyuma kivip,Maelezo zaidi tafadhari
Maombi yako orodhesha kwenye karatasi sema na MUNGU. pia nimeona mahal watu wakidai kuogea maji ya chumvi ya mawe huku ukiomba kuondolewa mikosi na laana ya familia, roho ya kukataliwa mauti na mwisho mwema kwenye maisha yakoChangamoto sana..shida ni tunatokaje hapa??
Kuna jambo unataka kufanya ila unajulishwa msingi wako wa kifikra juu ya hilo jambo ni mbovu sanaNimeamini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushindwa vibaya kimaisha na kuota ukiwa shule.
Kila siku huwa naota nikiwa shule na mara nyingi wakati wa mitihani na mara zote matokeo huja vibaya.
Kwenye maisha halisi sasa..vita ni kubwa sana
Kwani humu kuna mtu anaota akiwa shule na muda huo maisha yake yapo safi?
KabisaKuna jambo unataka kufanya ila unajulishwa msingi wako wa kifikra juu ya hilo jambo ni mbovu sana
Huko kwenye maombi nafikiri nimemaliza maombi yote..waganga siwaamini sanaMaombi yako orodhesha kwenye karatasi sema na MUNGU. pia nimeona mahal watu wakidai kuogea maji ya chumvi ya mawe huku ukiomba kuondolewa mikosi na laana ya familia, roho ya kukataliwa mauti na mwisho mwema kwenye maisha yako
Ndoto ya primary mda mwingine inamaanisha una msingi mbovu sana wa kifikra juu ya jambo ambalo unataka kulifanya, na ukilifanya utafelindoto nyingi naota nipo shule tena primary na mara moja moja sekondari... kipindi nipo college sikumbuki kama nimewahi kuota ndoto za mazingira ya chuo hata siku; kila ndoto ni primary tu hata niote watu ninaoshinda nao kutwa na sikusoma nao primary lakini kwenye ndoto wote ni shule!
Hata wahusika wakiwa ni watumishi wenzangu lakini ndotoni lazima tuwe ni wanafunzi! Nakumbuka siku hiyo nimeota Mwalimu mkuu wa shule ninayofundisha eti anakagua sijui jambo gani na mimi nimo ni mwanafunzi halafu namhanya balaa aisee niliposhtuka ikabidi nicheke tu maana kiuhalisia huyo jamaa wala hana ukali niliomuota nao na ni mshkaji sana hapa shuleni hata huwezi kujua kama yeye ndiye mkuu
ndoto ni mzunguko wa yale uliyopitia, maono ni kuota kitu hujawahi kuona au kufika sehemu na ukaja kufika...Nimeamini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kushindwa vibaya kimaisha na kuota ukiwa shule.