Siyo Dar tu, ni nchi nzima, njoo Morogoro Msamvu, ATN, Total, Puma, Lake, Bahlaboo, Oilcom, Lake na eneo lilipo katikati ya shule ya msingi Msamvu na Moproco kinajengwa...sidhani kama kuna uhitaji kiasi hiki wa mafuta.
Nenda sasa barabara ya Mikumi-Ifakara, vituo vi3, Ifakara-Malinyi almost NOTHING. Vituo ni Ifakara mjini.
Everyday is Saturday................................
Mahitaji ndiyo petrol station ijengwe pembeni mwa shule?? Ijengwe nyuma ya nyumba za makazi ya watu??wenzako wenye sheri wanaangalia mahitaji,wewe unaangalia kelele za mtandaoni.
Kwahiyo wakiibia serikali ni haramu, ila wakiibia sekta binafsi ni halali??Watu wakibanwa wasiweke pesa benki kwa kuhojiwa hojiwa wanazihamishia mitaani kujenga vitega uchumi wakiachwa free pesa zinajaa kwenye mabenki sababu wanajua huulizwi .Sheria za money laundering zinatakiwa zisiwe kali sana zilinde tu pesa za umma zisiibiwe lakini kama hela zinapigwa sekta binafsi huko wasifuatilie sana mfano kuna wafanyakazi sekta binafsi wanawaibia kampuni zao huko waweza wakuta wana mabilioni wakiweka benki fuatilia tu kama kuna pesa ya umma imeibiwa ukiona haipo kauka
Mwachie pesa zake
Sasa hivi nadani kuna baadhi pesa wanazo ila wanaogopa kuweka benki ndio maana ya huu muibiko wa vituo vya mafuta vingine kila baada ya hatua chache
Ni kweli mkuu, watu walipofushwa na mapambio ya "mtetezi wa wanyonge" wakasahau kbs kuwa malaika alitaka tuishi kama mashetani.Shida yenu bado mnapenda tuishi kama mashetani, wakati tulikuwa tunaishi kama malaika.
Kweli kabisa hawazingatii umbali. Najiuliza hamna sheria kutoka kituo kimoja hadi kingine? Pale St. Peters kuna Total mbele baada ya nyumba nne kuna kingine kipya kinajengwa. Kigamboni kwenye round about ukitoka darajani kwenda Kibada kuna kituo, mbele yake baada ya nyumba moja kuna kituo kipya cha ENGEN kinajengwa. Njia hio hio mbele kipande cha km 3 kuna vituo karibu 6 vinajengwa, ni wazi kuna uhitaji mkubwa wa mafuta ya magari.Tanzania Ni Tajiri
Ni Nchi Nzima Vituo Tena Havizingatii Umbali
Nimekuja nduki, kunakitu umesahau kukizungumzia: je, ongezeko/ujenzi huu haukiuki sheria⁉️ nijuavyo mimi sheria inaelekeza umbali unaotakiwa kitoka kituo kimoja hadi kingine - sasa naona kama kuna bituo vimesogeleanaHabari Watz,
Kuna jambo ambalo Mimi naliona toka tumalize uchaguzi wa 2020 linatokea kila kukicha nikipita barabarani ambalo hatukulizoea kwa kipindi hiki Cha Hayati. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ujenzi wa vituo vya mafuta hasa Bagamoyo Road kuanzia maeneo ya Tegeta hadi Bagamoyo ilihali wananchi wengi tupo dhofu bin taabani kiuchumi.
Kinachonifikirisha ujenzi huu haukutokea miaka miwili mitatu iliyopita lakini ghafla kila sehemu wazi watu wanajenga vituo vya mafuta. Kuna hata mmoja pale daraja la mto Mpiji unapovuka toka Bunju kwenda Bagamoyo kajenga usiku na mchana kwa wiki mbili tu. Tunaofahamu mambo ya ujenzi ni gharama kubwa.
Swali fikirishi hizi hela watu wamezitoa wapi ghafla? Ndo kusema hayati alianza kuachia hela baada ya miaka yake mi5 ya Kubana? Au ndo tutarajie mmwagiko wa hela mtaani tena?
Acha wivuShida ni kwamba kila sehemu sasa ni kituo makazi ya watu hayaheshimiwi tena, wala shule haina maana tena. Hatuwezi kwenda bila mpangilio wa maisha.
Sio bagamoyo road tu ni sehemu nyingiHabari Watz,
Kuna jambo ambalo Mimi naliona toka tumalize uchaguzi wa 2020 linatokea kila kukicha nikipita barabarani ambalo hatukulizoea kwa kipindi hiki Cha Hayati. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ujenzi wa vituo vya mafuta hasa Bagamoyo Road kuanzia maeneo ya Tegeta hadi Bagamoyo ilihali wananchi wengi tupo dhofu bin taabani kiuchumi.
Kinachonifikirisha ujenzi huu haukutokea miaka miwili mitatu iliyopita lakini ghafla kila sehemu wazi watu wanajenga vituo vya mafuta. Kuna hata mmoja pale daraja la mto Mpiji unapovuka toka Bunju kwenda Bagamoyo kajenga usiku na mchana kwa wiki mbili tu. Tunaofahamu mambo ya ujenzi ni gharama kubwa.
Swali fikirishi hizi hela watu wamezitoa wapi ghafla? Ndo kusema hayati alianza kuachia hela baada ya miaka yake mi5 ya Kubana? Au ndo tutarajie mmwagiko wa hela mtaani tena?
Wakati naingia Dar miaka kibao iliyopita, Dar kulikua na vituo vya petroli 17. Hivyo Ni pamoja na kile Cha BP terminal one kule eapot.
Kipindi hicho hakuna daladala, uda zilikua zinaishia Temeke, eapot, Ubungo, Mwenge na kawe.
Benki nazo hazikuwa na fedha?Habari Watz,
Kuna jambo ambalo Mimi naliona toka tumalize uchaguzi wa 2020 linatokea kila kukicha nikipita barabarani ambalo hatukulizoea kwa kipindi hiki Cha Hayati. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ujenzi wa vituo vya mafuta hasa Bagamoyo Road kuanzia maeneo ya Tegeta hadi Bagamoyo ilihali wananchi wengi tupo dhofu bin taabani kiuchumi.
Kinachonifikirisha ujenzi huu haukutokea miaka miwili mitatu iliyopita lakini ghafla kila sehemu wazi watu wanajenga vituo vya mafuta. Kuna hata mmoja pale daraja la mto Mpiji unapovuka toka Bunju kwenda Bagamoyo kajenga usiku na mchana kwa wiki mbili tu. Tunaofahamu mambo ya ujenzi ni gharama kubwa.
Swali fikirishi hizi hela watu wamezitoa wapi ghafla? Ndo kusema hayati alianza kuachia hela baada ya miaka yake mi5 ya Kubana? Au ndo tutarajie mmwagiko wa hela mtaani tena?
Ufinyu wa mawazoAcha wivu
Nyinyi mliamini Magufuli ni mungu, kumbe alikuwa anatupeleka shimoni.Watu wakibanwa wasiweke pesa benki kwa kuhojiwa hojiwa wanazihamishia mitaani kujenga vitega uchumi wakiachwa free pesa zinajaa kwenye mabenki sababu wanajua huulizwi .Sheria za money laundering zinatakiwa zisiwe kali sana zilinde tu pesa za umma zisiibiwe lakini kama hela zinapigwa sekta binafsi huko wasifuatilie sana mfano kuna wafanyakazi sekta binafsi wanawaibia kampuni zao huko waweza wakuta wana mabilioni wakiweka benki fuatilia tu kama kuna pesa ya umma imeibiwa ukiona haipo kauka
Mwachie pesa zake
Sasa hivi nadani kuna baadhi pesa wanazo ila wanaogopa kuweka benki ndio maana ya huu muibiko wa vituo vya mafuta vingine kila baada ya hatua chache