nina facebook page yangu , hata nitupia post vipi like zinaongezeka kidogo sana inafika kipindi ninikata tamaa kwani ina mwaka mmoja sasa ila ni like mia tano tu
nina facebook page yangu , hata nitupia post vipi like zinaongezeka kidogo sana inafika kipindi ninikata tamaa kwani ina mwaka mmoja sasa ila ni like mia tano tu
Nini faida ya hizo Like?
Likes = Hela. Kila anayelike anakuwa ni mwanachama wa hiyo page yako, kadri chama kinavyokuwa na wanachama wengi ndiyo kinakuwa na nguvu zaidi au siyo?
Kivipi mkuu, hiyo like inakuwaje hela, naomba
Ufafanue kidogo na mimi nipate kuelewa..
Sent from my iPhone using JamiiForums app