Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,666
Hawatoi skills abadani,Ngoja wataalam waje. Ila ungewapa 10k wangekuelekeza wale jamaa WA Insta.
Kuongeza kwa lengo la kutoa huduma hiyo "yaani Kuongeza followers kwa watu wengine "Unataka kuongeza kwa lengo la kibiashara au kutaka kuwa mfanyabiashara wa kuuza account?
Wote tunajua ni bots,Ni followers fake aka bots hawana issue yoyote, ukiangalia list ya hizo followers majina ya wazungu, wahindi etc. Kifupi ni utapeli kama utapeli mwengine.
Followers hao feki wanauzwa mtandaoni, sitaweka link sababu sitaki kuwa part ya utapeli, bora tu uachane na hizi biashara.
Najaribu tu,Kabisa unategemea mtu aje atiririke hapa? Nakushauri utafute njia mbadala tu.
Watu kwa nini wachoyo 😊Hawatoi skills abadani,
Nimejaribu kuwaambia wanifunze niwape malipo (wamekomaza shingo)
4sure umemaliza kila kitu hapa huwa ni fake followers kuna jamaa angu pia huwa anafanya hii michezo afu anauza account....Ni followers fake aka bots hawana issue yoyote, ukiangalia list ya hizo followers majina ya wazungu, wahindi etc. Kifupi ni utapeli kama utapeli mwengine.
Followers hao feki wanauzwa mtandaoni, sitaweka link sababu sitaki kuwa part ya utapeli, bora tu uachane na hizi biashara.
Simple trick ni kufollow watu wengi kadri ya uwezo wako nao wataku-follow back basi hakuna mbambamba nyingine...Mambo vipi wana JF?
Kwa sasa kuna trending ya kuongeza followers hasa Instagram,
1. Hawa followers ni kama ulikuwa nao 100 unaweza kulipa mtu na unapata 10k followers,
Kumbuka hapa sio zile app za playstore ambazo unapata followers watano, n.k
Hii ndani ya 24 hours mtu anapata followers hata 20k,
Swali langu ni je wanatumia system gani ku bypass na kuongeza Instagram followers bila tatizo?
2. Niko tayari kujifunza kwa sababu inaweza kuwa deal nzuri (income)
Msaada tafadhali
Asante
Nicheki 0769917070 nikupe uwo mchongo wa kuongeza followers na mitandao mingine ya kijamiiHawatoi skills abadani,
Nimejaribu kuwaambia wanifunze niwape malipo (wamekomaza shingo)
We jamaa una akili sana ni kweli kbsa hiiSimple trick ni kufollow watu wengi kadri ya uwezo wako nao wataku-follow back basi hakuna mbambamba nyingine...
NB> Tafuta account ya jamaa yako/zako insta iliyo real iliyonona na followers wengi na wewe wafollow haohao watu wake kadri ya uwezo wako utaona mabadiriko japo uta hustle sana make sio wote watakufollow back.. hakikisha tu account yako naww imekaa kimvuto na ina ushawishi na posts za maana, sio imejaa MEMEs na mavitu yasiyo eleweka..
ilikuaje?Back in the days, tumetafuta sana followers ...paaap account ikafika 110k.
Maisha yalivyokuja kunipakata vizuri hadi Instagram yenyewe nikasahau. Acc mpaka leo ipo ipo tu
Fujo za Instagram zinataka muda na bundle, sasa ukiwa busy na maisha huo muda wa kwenda sawa na matukio hutoupata mkuuilikuaje?