Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,233
Narejea uzi huu
Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi.
Kuna sehem nineona sababu ya kujiua ni kuachwa na mpenzi.
Najariu kuvaa viatu vya mzazi, natetemeka, naona giza, nachanganyikiwa, nakiri siviwezi, vimenishinda.
Na-imagine first born, mzazi ana matumaini ya kuanza kula matunda ya jasho lake
Na-imagine labda anaanza kuwaza kubeba wajukuu wa kijana wake
Mara ghafla anampokea mwanaye kwenye jeneza kwa kujiua sababu ya mapenzi?
Je, angepata wasaa wa kuongea naye kabla ya hajajitundika, angeongea vingapi?
Ni aje angejaribu to make sense kwenye kichwa cha mtoto wake kuwa at some point mapenzi yanaumiza, bila kujali anayekuumiza unampenda kiasi gani?
Ni aje angejaribu kumwelewesha kuwa siku moja he will get over it?
Labda niulize,
Kuna haja ya kuongea na watoto wetu kuhusu hisia za mapenzi?? NAjua wengi tunakazania upande wa kiafya zaidi tunasahau hisia
Na je, kumweleza mtoto siku moja anaweza umizwa itamsaidia ku-cope siku akiumizwa?
Jamani mie nimeguswa sana na hilo, sijui sababu i have them boyz tu.
Msaada wadau