Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,836
- 730,291
Nisingependa kumjadili mtu bali hoja
Unapotoa mada ama simulizi ama maelekezo ama ujumbe tahadhari na kuhurubu body language ni kitu muhimu mno
Unaichota hadhira unaisoma kisha unacheza nayo unavyotaka....inategemea muktadha ninini.....! Lakini penye uchungu onesha uchungu...penye kukemea kemea... Badilika unapoonya na kufanya utani ama kushauri nk nk
Usibaki n mood moja tu mwanzo mwisho, mishipa ya shingo na kichwa ikakukakamaa kwa kutumia nguvu nyingi mno ETI kuonesha utungu na msisitizo...hutuba ya dakika sitini itakuacha na homa...ukitoka hapo itabidi umeze tembe za maumivu
Kila jambo lina taratibu zake na mikataba yake ambayo baadhi ulihusika kuisaini ama kuipitisha ama kuiasisi...tumia taratibu zilezile bila kutoka jasho .....!!! Wanakuangalia tu na kukucheka huku wakikubeza....kwakuwa wanajua kwa hakika wewe ni nani....