Kuongea huku ukitumia nguvu nyingi sana kuna madhara kiafya

Wanafiki watupu ninyi hamna lolote..Mikataba mibovu muingie wenyewe /mshirikiane na wez leo ndio mnajikung'uta matope na kutaka tuwaone kuwa ni Wasafi?..
IMG-20170613-WA0009.jpg
 
Kila mtu ana hulka yake ta kuongea, mtizame EL anavyoongea, taratibu, kwa upole, hatoi sauti kubwa.

Je, kila mtu aongee vile? Nope! Kama vile ambavyo sura zetu hazifanani(can you imagine dunia ya watu billions lakini wanaofanana kwa sura ni wachache sana) acheni kila mtu aongee jinsi alivyoumbwa kuongea.
 
Mwanzoni kabisa mwa mada nimeandika hivi: NISINGEPENDA KUMJADILI MTU BALI HOJA....

Jr
 
Eventually utajadili figures coz animals don't talk, we humans do. Nimetoa mfano wa EL coz he's a popular political figure, siwezi kutoa mfano wako coz I know not about you.

Kumbuka pia influence ya kabila na lugha zao hufanya watu wa-stress maneno wakiongea.

If you could only LIVE AND LET LIVE, the world would be a better place.
 
Ooh I can see

Jr
 
Back
Top Bottom