Kuongea huku ukitumia nguvu nyingi sana kuna madhara kiafya

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,718
Nisingependa kumjadili mtu bali hoja
Unapotoa mada ama simulizi ama maelekezo ama ujumbe tahadhari na kuhurubu body language ni kitu muhimu mno
Unaichota hadhira unaisoma kisha unacheza nayo unavyotaka....inategemea muktadha ninini.....! Lakini penye uchungu onesha uchungu...penye kukemea kemea... Badilika unapoonya na kufanya utani ama kushauri nk nk
Usibaki n mood moja tu mwanzo mwisho, mishipa ya shingo na kichwa ikakukakamaa kwa kutumia nguvu nyingi mno ETI kuonesha utungu na msisitizo...hutuba ya dakika sitini itakuacha na homa...ukitoka hapo itabidi umeze tembe za maumivu
Kila jambo lina taratibu zake na mikataba yake ambayo baadhi ulihusika kuisaini ama kuipitisha ama kuiasisi...tumia taratibu zilezile bila kutoka jasho .....!!! Wanakuangalia tu na kukucheka huku wakikubeza....kwakuwa wanajua kwa hakika wewe ni nani....
 
Kama ni huyu hiyo ni nature yetu.

Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

P.
 
Kuongea napo ni kipaji.. ila unaongea nini hilo ndo la msingi,huenda enzi za utoto wake alikuwa muimba nyimbo,nyimbo za ukakamavu..!

umesema wanamjua! unafikiri ule usemi zimwi likujualo halikuli likakwisha kwake unafanya kazi..?

hata hivyo nimekuwa hatihati na kuona ule usemi "siasa ni mchezo mchafu" unafanyakazi!!
nimeshindwa kumjua mzalendo maana wote wanapakana tope!

hata hivyo napima kwa matendo maneno yanapotea hewani!
na muda ndo umekua muamuzi si kichwa tena!
Mama kaniambia nikakojoe nilale ya usiku makubwa nami nimeshiba tumbo ndiiii wacha nikalale
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom