Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,344
Mkuu wa kaya KAAGIZA nao wamefuata agizo.Mkuu wa kaya karuhusu, wamefanya anavyotaka
Mkuu wa kaya KAAGIZA nao wamefuata agizo.Mkuu wa kaya karuhusu, wamefanya anavyotaka
Watoto wa maskini itakula kwao. TCU ilikuwa ina balance selection, kutoka huko Private na hawa wa public.
Sasa hivi kuomba direct chuo wataangalia ufaulu, na watoto wa Private wana ufaulu mizuri. Hii italeta bias.
Mkuu nisaidie TCU wanapeleka vipi???Upendeleo, rushwa na ubadhirifu vipo pia ktk CAS, tofauti ni mnufaika tu. Kosa kubwa la TCU ni kurubunika kiasi cha kupeleka wanafunzi wengi sana St. Joseph (Songea na Arusha campus) wakati hawakuwa na miundombinu. Kwa sisi tuliowahi kufika Songea campus, majengo yake ni duni kuliko yale ya shule ya msingi ya serikali niliyopata kusoma.
Ukipeleka best students kwenye worst colleges tayari manung'uniko yanaanza maana wanaona wenzao wenye maksi zinazofanana wako udsm, udom, saut, nk. Ndo maana kwa St. Joseph Arusha campus wanafunzi ndio waliokuwa wanalalamika kwa wizara na TCU. Ni kwa rushwa tu ndipo unaweza ukapeleka wanafunzi wa IT Songea au arusha twenty times ya wale walioko campus za udsm au udom.
Lilikuwa na lobbying kubwa sana ya vice chancellors kutaka TCU iwapangie wanafunzi, hapo ndipo wahindi walipopitisha hela TCU. Sasa nguvu ya soko iamue. Tena uzuri rais hakusema CAS iondolewe, alisema waache wanafunzi wachague wanakotaka.
Sasa CAS itakuepo vp wakati rais keshasema wapelekwe vyuo wanavyotaka...Upendeleo, rushwa na ubadhirifu vipo pia ktk CAS, tofauti ni mnufaika tu. Kosa kubwa la TCU ni kurubunika kiasi cha kupeleka wanafunzi wengi sana St. Joseph (Songea na Arusha campus) wakati hawakuwa na miundombinu. Kwa sisi tuliowahi kufika Songea campus, majengo yake ni duni kuliko yale ya shule ya msingi ya serikali niliyopata kusoma.
Ukipeleka best students kwenye worst colleges tayari manung'uniko yanaanza maana wanaona wenzao wenye maksi zinazofanana wako udsm, udom, saut, nk. Ndo maana kwa St. Joseph Arusha campus wanafunzi ndio waliokuwa wanalalamika kwa wizara na TCU. Ni kwa rushwa tu ndipo unaweza ukapeleka wanafunzi wa IT Songea au arusha twenty times ya wale walioko campus za udsm au udom.
Lilikuwa na lobbying kubwa sana ya vice chancellors kutaka TCU iwapangie wanafunzi, hapo ndipo wahindi walipopitisha hela TCU. Sasa nguvu ya soko iamue. Tena uzuri rais hakusema CAS iondolewe, alisema waache wanafunzi wachague wanakotaka.
Inawapangia wanafunzi vyuo ambavyo hawakuchagua au halikuwa chaguo la kwanza wakati wana sifa za kwenda vyuo walivyochagua kama chaguo la kwanza na huko waliko chagua kuna nafasi bado.Mkuu nisaidie TCU wanapeleka vipi???
Ni rahisi, CAS wazingatie kile alichochagua mwanafunzi. Yaani mwanafunzi apewe nafasi ya kuomba tena kama machaguo yake tayari yamejaa. Hicho ndicho kitu TCU hawakuwa wanafanya. Unachagua 1. Chuo A 2. Chuo A 3. Chuo D, wanakupeleka Chuo D ambako wamekula hela badala ya Chuo A ambako ni chaguo lako la kwanza, una sifa zote na nafasi ktk Chuo A hazijajaa.Sasa CAS itakuepo vp wakati rais keshasema wapelekwe vyuo wanavyotaka...
Maulamaa na makatekista mliokuwa mnahonga TI-SI-YUU mletewe wanafunzi na mikopo.toka bodi ya mikopo imekula kwenu. Hivyo vyuo fungueni hotel sasa.
NACTE na TCU wamemsoma sawa Raisi kama alivyo agiza-matokeo yake CAS kwaheri. Issue ya CAS ningependa itofautishwe na ubovu wa miundo mbinu. .
Sasa hili lina uhusiano gani na CAS?! Kwani wanafunzi kuchaguliwa manually kunaondoa access ya wamiliki vyuo vikuu na Bodi ya Mikopo?Vyuo binafsi vilikuwa vinahonga mpaka watendaji was Bodi ya Mikopo ili kupata pesa za ada kwa wanafunzi.
Acha habari zako bhana!! Kutokea kwa baadhi ya shule za serikali kwenye top 10 wala haimaanishi kwamba eti shule za serikali zilitusua kuliko private!!!Sio kweli kwamba shule za private zina ufaulu mzuri kuliko govment nazungumzia upande wa advance,coz hata mwaka jana govment walitusua sana kuliko hao prvate
unauhakika kuna mwanafunzi amepangiwa chuo bila kukichagua? na hilo chaguo la 3 ni TCU wamemchagulia au amechagua mwenyewe??Inawapangia wanafunzi vyuo ambavyo hawakuchagua au halikuwa chaguo la kwanza wakati wana sifa za kwenda vyuo walivyochagua kama chaguo la kwanza na huko waliko chagua kuna nafasi bado.
Mfano let's say Juma anachagua 1.Mlimani 2. Mlimani 3. St.Joseph Songea. TCU walikuwa na tabia ya kumpeleka mwanafunzi huyo Songea hata kama mliman bado kuna nafasi na mwanafunzi ana sifa za kusoma mlimani. Matokeo yake, kwa kozi zinazohitaji facilities kama ICT, unampeleka mwanafunzi chuo ambacho hakina hata nusu ya facilities za sehemu aliyoichagua kwanza.
Wanahonga kwanza TCU Kisha wanahamia Loans Board.Sasa hili lina uhusiano gani na CAS?! Kwani wanafunzi kuchaguliwa manually kunaondoa access ya wamiliki vyuo vikuu na Bodi ya Mikopo?
Kama umefika chuo kikuu basi utakuwa umesoma zama za CAS! Sie tuliosoma zama za manual admission tunafahamu madhara ya kuondoa mfumo wa CAS!Vyuo vyote viko sawa, kuna vigezo ambavyo vimewekwa na wizara, naunga na Mhe Rais kwa hili.
Very funny! So, what's the difference?! Kama admission imetoka CAS si nahonga Admission Officer wa chuo husika kisha nahamia Board?!J
Wanahonga kwanza TCU Kisha wanahamia Loans Board.
Ktk hili suala, ninachokiongea kina 'authority' ukitaka kuelemika basi shule ya bure nimeshatoa. Kama unataka kubishana basi mimi sina muda.unauhakika kuna mwanafunzi amepangiwa chuo bila kukichagua? na hilo chaguo la 3 ni TCU wamemchagulia au amechagua mwenyewe??
Mh. Rais yawezekana alikuwa na nia nzuri lakini sidhani kama alifanya utafiti juu ya mapungufu na ubora wa udahili kupitia TCU kwa kutumia CAS (Centrel Admission System). Je anafahamu na anaelewa subabu za viongozi waliopita kuanzisha mfumo huo wa udahili? Duniani kote ambako wameendelea katika sayansi tekinolojia na elimu wanatumia Central Admission System (CAS) mfano Turkey, Canada, United Kingdom, South Africa, Austria, Switzerland, na nyinginezo.
Madhara ya kuondoa Central Admission System (CAS)
Angalizo😉+🙁Dual admissions (wanafunzi kudahiliwa mara mbili katika vyuo viwili tofauti ndo maana hata NACTE walipo gundua swala hilo wakaanzisha CAS kwa udahili wa Astashahada na Stashahada.
+🙁Upendeleo na kujuana, kigezo cha kusoma chuo kikuu Tz ni principle pass mbili hivyo basi kutokana nakujuana hiki kinaweza kuwa kigezo cha kuruhusu upendeleo kwa watu wenye ufaulu mdogo kusoma vyuo bora.
+🙁Mianya ya rushwa katika udahili, watoto wa maskini watashindwa kucompete na wakishua katika kuhakikisha wanasoma vyuo bora wanavyovipenda.
+🙁Itachochea ubadhilifu katika utoaji wa mikopo na baadhi ya wanafunzi kupata mikopo mara mbili kutokana Dual admissions.
🙄Maswala yote na maamuzi yanayohusu elimu yasifanyike kisisasa na katika majukwaa ya kisiasa.
🙄Elimu ni utafiti, nguzo pekee ya mabadiliko ya mifumo ya elimu na mifumo mingine inaongozwa na tafiti, na hata sera za elimu zinatungwa kutokana tafiti hazitungwi na kauli mbiu za majukwaani.
Mimi nitumia mfumo CAS mkuu, lakini unausumbufu sana, wanakuchagulia chuo wao wanachopenda.Kama umefika chuo kikuu basi utakuwa umesoma zama za CAS! Sie tuliosoma zama za manual admission tunafahamu madhara ya kuondoa mfumo wa CAS!
In short, watakaoathirika ni wale wale wenzangu na mimi wanaotoka kwenye shule za kawaida!!!
The problem ya manual admission unakuta mtu ana Div I yake lakini hana uhakika kwamba atachaguliwa kwenye chuo atakacho! Kutokana na hilo, unakuta anaomba hadi vyuo 3 just in case! Huko anakutana na wale wenye Div II & III. Matokeo yake anachaguliwa yeye sehemu zote hizo kumbe anakuwa amebana nafasi ya mtu mwenye II.
Zamani kulikuwa na Joint Admission Board lakini bado ilikuwa ngumu kwao kuhakikisha hakuna multiple admission! Ilikuwa ngumu wakati Tanzania mzima wanafunzi walikuwa hawafiki hata 15K!!!