Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,278
- 17,984
Out of necessity, wanayanunua hadi leo. Hawana ujanja.Peleka bidhaa zako Kenya ndio utajua maana ya hii marufuku ,wakenya walishatangaziwa mahindi toka TZ hayafai kwa matumizi ya binadamu wakati sie tumekula hadi kuzeekea hayo