Kuondoka kwa Brookside Tanzania

Peleka bidhaa zako Kenya ndio utajua maana ya hii marufuku ,wakenya walishatangaziwa mahindi toka TZ hayafai kwa matumizi ya binadamu wakati sie tumekula hadi kuzeekea hayo
Out of necessity, wanayanunua hadi leo. Hawana ujanja.
 
Mkuu hutaki wawekezaji wa ndani walindwe na serikali yao? Nafikiri hii move inatumika duniani kote hata EU wanahangaika na mkataba wao wa EPA kwa nia hiyo hiyo!
Jobs , jobs jobs
20191210_231617.jpeg
 
Protectionism ya kijinga kabisa. Brookside yana the best quality. Hakuna cha Asas, Tanga Fresh nk wa kuwafikia.

Wataendelea kuproduce substandard wakilindwa kwa njia hizi. Let them compete ili wafike mahali quality iwe ya juu.

Kuna faida gani kuwa na soko la East Africa?
Asas watumie hela zao kuongeza ubora sio matangazo mengi na ambassadors wengi wasio wa tija.
Naumia sana kukosa brookside. Najua ni Kenyatta. I don't care as long as wana quality nzuri.
Kama wanafanya protectionism, je uwa wanazingatia ajira za watu? How many Tanzanians have been laid off since 2016 and how many job opportunities have been created since then?
20191210_231617.jpeg
 
Back
Top Bottom