Protectionism ya kijinga kabisa. Brookside yana the best quality. Hakuna cha Asas, Tanga Fresh nk wa kuwafikia.Je kuondoka kwa Brookside kwenye soko la Tanzania ni kwa sababu ya 1. competitions among importers na domestics players 2. Wazalishaji wa ndani kuboresha bidhaa zao kiasi cha kuwavuta walaji 3. Protectionism au 4. Brookside been caught up with some malpractices?
One of Brookside staff who used to supply their products in our outlets told me that they have been without pay for months and all brookside offices are closed and they have no clue of what is going plus their pay, in-fact he told me they have been dumped with their employer.
Lakini wamekubaliana bidhaa za ndani ya EA ziwe treated kama local.Mkuu hutaki wawekezaji wa ndani walindwe na serikali yao? Nafikiri hii move inatumika duniani kote hata EU wanahangaika na mkataba wao wa EPA kwa nia hiyo hiyo!
Unaumia kuhusu haya maziwa 😂😂😂Protectionism ya kijinga kabisa. Brookside yana the best quality. Hakuna cha Asas, Tanga Fresh nk wa kuwafikia.
Wataendelea kuproduce substandard wakilindwa kwa njia hizi. Let them compete ili wafike mahali quality iwe ya juu.
Kuna faida gani kuwa na soko la East Africa?
Asas watumie hela zao kuongeza ubora sio matangazo mengi na ambassadors wengi wasio wa tija.
Naumia sana kukosa brookside. Najua ni Kenyatta. I don't care as long as wana quality nzuri.
Nenda kawaulize ofisini kwao I hope they have reliable answers than from this forum.
Hii ndiyo lugha ya adabu ya kuongea na wakubwaHapana mkuu ukifanya hivyo viwanda vya ndani vitakufa mkuu. Viwanda vya nje vinapewa incentive na serikali zao huko nje hivyo usipolinda viwanda vyetu hawataweza kushindana. Hivyo ni move nzuri ya serikali na wawekezaji wa ndani wamekuwa wakipigia kelele sana.
Protectionism ya kijinga kabisa. Brookside yana the best quality. Hakuna cha Asas, Tanga Fresh nk wa kuwafikia.
Wataendelea kuproduce substandard wakilindwa kwa njia hizi. Let them compete ili wafike mahali quality iwe ya juu.
Kuna faida gani kuwa na soko la East Africa?
Asas watumie hela zao kuongeza ubora sio matangazo mengi na ambassadors wengi wasio wa tija.
Naumia sana kukosa brookside. Najua ni Kenyatta. I don't care as long as wana quality nzuri.
Tanga fresh na Asas wako vizuri lakini azam fresh nahisi sio maziwa yale maana hata ladha haiendani.Bidhaa zote imported ziliongezewa kodi ili kunyanyua viwanda vya ndani, bora hata Tanga Fresh na Asas zile kama Dar fresh ndio hazina ubora kabisa, unakunywa maziwa kama unakunywa maji
Na bei waliongeza
Mdogo Mdogo wanaenda zuia yote, protectionism of infantry industry ndio Sera iliyopo ambapo SIDO wamepewa jukumu la kutoa mafunzo ya uzalishaji Wa bidhaa mbalimbali ambapo sasa hivi wazalishaji wengi wanazalisha kwa viwango na products za ndani zinaonekana kwenye shelves za maduka makubwa.Lakini mbona KCC yapo sokoni,nayo ni product ya Kenya plus Lato ya Uganda and Firstchoice ya South Africa?
Ndio maana najiuliza maswali mengi, of course nimeona bei za imported milk ziko juu sana.
Unamjua Uhuru Kenyatta au unamsikia kwa mbali??Jiwe amewapiga marufuku kuuza bidhaa zao Tanzania. Same as Farmer's Choice.
Mdogo Mdogo wanaenda zuia yote, protectionism of infantry industry ndio Sera iliyopo ambapo SIDO wamepewa jukumu la kutoa mafunzo ya uzalishaji Wa bidhaa mbalimbali ambapo sasa hivi wazalishaji wengi wanazalisha kwa viwango na products za ndani zinaonekana kwenye shelves za maduka makubwa.
Lakini waliajiri watu (Watanzania) ,what about jobs then?
Nina rafiki yangu ni mwanasheria wa pale labour,anasema siku hizi waajiri ni wengi wanaokwenda pale ofisi za labour kuomba ushauri wa namna ya kupunguza wafanyakazi wao tofauti na zamani ambapo wafanyakazi ndio waliokuwa wakijazana pale.
Bepari hilo mkuuMkuu hutaki wawekezaji wa ndani walindwe na serikali yao? Nafikiri hii move inatumika duniani kote hata EU wanahangaika na mkataba wao wa EPA kwa nia hiyo hiyo!
Peleka bidhaa zako Kenya ndio utajua maana ya hii marufuku ,wakenya walishatangaziwa mahindi toka TZ hayafai kwa matumizi ya binadamu wakati sie tumekula hadi kuzeekea hayoLakini wamekubaliana bidhaa za ndani ya EA ziwe treated kama local.
Ushindani una faida mbili. Moja, kupata bidhaa bora. Mbili, bei au gharama nafuu.
Tusilinde viwanda vya ndani ili tuishie kupata bidhaa za ovyo kwa gharama kubwa.
Shida iliyowapata ni kwamba badala ya kununua maziwa toka kwa wakulima wa Tanzania na kutengeneza bidhaa zao wao wanataka kuingiza maziwa / bidhaa za mazima toka kwao. Imekuwa ngumu kwao kupata kibali cha kuingiza maziwaJe, kuondoka kwa Brookside kwenye soko la Tanzania ni kwa sababu ya
1. competitions among importers na domestics players
2. Wazalishaji wa ndani kuboresha bidhaa zao kiasi cha kuwavuta walaji
3. Protectionism au
4. Brookside been caught up with some malpractices?
One of Brookside staff who used to supply their products in our outlets told me that they have been without pay for months and all brookside offices are closed and they have no clue of what is going plus their pay, in-fact he told me they have been dumped with their employer.