Kuondoka kwa Brookside Tanzania

Kabembe

JF-Expert Member
Feb 11, 2009
2,549
1,741
Je, kuondoka kwa Brookside kwenye soko la Tanzania ni kwa sababu ya

1. competitions among importers na domestics players
2. Wazalishaji wa ndani kuboresha bidhaa zao kiasi cha kuwavuta walaji
3. Protectionism au
4. Brookside been caught up with some malpractices?

One of Brookside staff who used to supply their products in our outlets told me that they have been without pay for months and all brookside offices are closed and they have no clue of what is going plus their pay, in-fact he told me they have been dumped with their employer.
 
Je kuondoka kwa Brookside kwenye soko la Tanzania ni kwa sababu ya 1. competitions among importers na domestics players 2. Wazalishaji wa ndani kuboresha bidhaa zao kiasi cha kuwavuta walaji 3. Protectionism au 4. Brookside been caught up with some malpractices?
One of Brookside staff who used to supply their products in our outlets told me that they have been without pay for months and all brookside offices are closed and they have no clue of what is going plus their pay, in-fact he told me they have been dumped with their employer.
Protectionism ya kijinga kabisa. Brookside yana the best quality. Hakuna cha Asas, Tanga Fresh nk wa kuwafikia.

Wataendelea kuproduce substandard wakilindwa kwa njia hizi. Let them compete ili wafike mahali quality iwe ya juu.

Kuna faida gani kuwa na soko la East Africa?
Asas watumie hela zao kuongeza ubora sio matangazo mengi na ambassadors wengi wasio wa tija.
Naumia sana kukosa brookside. Najua ni Kenyatta. I don't care as long as wana quality nzuri.
 
Mkuu hutaki wawekezaji wa ndani walindwe na serikali yao? Nafikiri hii move inatumika duniani kote hata EU wanahangaika na mkataba wao wa EPA kwa nia hiyo hiyo!
Lakini wamekubaliana bidhaa za ndani ya EA ziwe treated kama local.

Ushindani una faida mbili. Moja, kupata bidhaa bora. Mbili, bei au gharama nafuu.

Tusilinde viwanda vya ndani ili tuishie kupata bidhaa za ovyo kwa gharama kubwa.
 
Protectionism ya kijinga kabisa. Brookside yana the best quality. Hakuna cha Asas, Tanga Fresh nk wa kuwafikia.

Wataendelea kuproduce substandard wakilindwa kwa njia hizi. Let them compete ili wafike mahali quality iwe ya juu.

Kuna faida gani kuwa na soko la East Africa?
Asas watumie hela zao kuongeza ubora sio matangazo mengi na ambassadors wengi wasio wa tija.
Naumia sana kukosa brookside. Najua ni Kenyatta. I don't care as long as wana quality nzuri.
Unaumia kuhusu haya maziwa 😂😂😂

Bidhaa zote imported ziliongezewa kodi ili kunyanyua viwanda vya ndani, bora hata Tanga Fresh na Asas zile kama Dar fresh ndio hazina ubora kabisa, unakunywa maziwa kama unakunywa maji

Na bei waliongeza
 
Hapana mkuu ukifanya hivyo viwanda vya ndani vitakufa mkuu. Viwanda vya nje vinapewa incentive na serikali zao huko nje hivyo usipolinda viwanda vyetu hawataweza kushindana. Hivyo ni move nzuri ya serikali na wawekezaji wa ndani wamekuwa wakipigia kelele sana.
Hii ndiyo lugha ya adabu ya kuongea na wakubwa
 
Protectionism ya kijinga kabisa. Brookside yana the best quality. Hakuna cha Asas, Tanga Fresh nk wa kuwafikia.

Wataendelea kuproduce substandard wakilindwa kwa njia hizi. Let them compete ili wafike mahali quality iwe ya juu.

Kuna faida gani kuwa na soko la East Africa?
Asas watumie hela zao kuongeza ubora sio matangazo mengi na ambassadors wengi wasio wa tija.
Naumia sana kukosa brookside. Najua ni Kenyatta. I don't care as long as wana quality nzuri.

Lakini mbona KCC yapo sokoni,nayo ni product ya Kenya plus Lato ya Uganda and Firstchoice ya South Africa?
Ndio maana najiuliza maswali mengi, of course nimeona bei za imported milk ziko juu sana.
 
Bidhaa zote imported ziliongezewa kodi ili kunyanyua viwanda vya ndani, bora hata Tanga Fresh na Asas zile kama Dar fresh ndio hazina ubora kabisa, unakunywa maziwa kama unakunywa maji

Na bei waliongeza
Tanga fresh na Asas wako vizuri lakini azam fresh nahisi sio maziwa yale maana hata ladha haiendani.
 
Lakini mbona KCC yapo sokoni,nayo ni product ya Kenya plus Lato ya Uganda and Firstchoice ya South Africa?
Ndio maana najiuliza maswali mengi, of course nimeona bei za imported milk ziko juu sana.
Mdogo Mdogo wanaenda zuia yote, protectionism of infantry industry ndio Sera iliyopo ambapo SIDO wamepewa jukumu la kutoa mafunzo ya uzalishaji Wa bidhaa mbalimbali ambapo sasa hivi wazalishaji wengi wanazalisha kwa viwango na products za ndani zinaonekana kwenye shelves za maduka makubwa.
 
Lakini waliajiri watu (Watanzania) ,what about jobs then?
Nina rafiki yangu ni mwanasheria wa pale labour,anasema siku hizi waajiri ni wengi wanaokwenda pale ofisi za labour kuomba ushauri wa namna ya kupunguza wafanyakazi wao tofauti na zamani ambapo wafanyakazi ndio waliokuwa wakijazana pale.
 
Hizo trainings na facilitations ambazo sido na wenzie wamepewa uwezo wazitoe kwa watanzania iwapo zitachukuliwa serious maana yake mbadala utakuwepo tena mkubwa zaidi.
Safari bado ndefu, maisha lazima yaendelee!
Lakini waliajiri watu (Watanzania) ,what about jobs then?
Nina rafiki yangu ni mwanasheria wa pale labour,anasema siku hizi waajiri ni wengi wanaokwenda pale ofisi za labour kuomba ushauri wa namna ya kupunguza wafanyakazi wao tofauti na zamani ambapo wafanyakazi ndio waliokuwa wakijazana pale.
 
Lakini wamekubaliana bidhaa za ndani ya EA ziwe treated kama local.

Ushindani una faida mbili. Moja, kupata bidhaa bora. Mbili, bei au gharama nafuu.

Tusilinde viwanda vya ndani ili tuishie kupata bidhaa za ovyo kwa gharama kubwa.
Peleka bidhaa zako Kenya ndio utajua maana ya hii marufuku ,wakenya walishatangaziwa mahindi toka TZ hayafai kwa matumizi ya binadamu wakati sie tumekula hadi kuzeekea hayo
 
Je, kuondoka kwa Brookside kwenye soko la Tanzania ni kwa sababu ya

1. competitions among importers na domestics players
2. Wazalishaji wa ndani kuboresha bidhaa zao kiasi cha kuwavuta walaji
3. Protectionism au
4. Brookside been caught up with some malpractices?

One of Brookside staff who used to supply their products in our outlets told me that they have been without pay for months and all brookside offices are closed and they have no clue of what is going plus their pay, in-fact he told me they have been dumped with their employer.
Shida iliyowapata ni kwamba badala ya kununua maziwa toka kwa wakulima wa Tanzania na kutengeneza bidhaa zao wao wanataka kuingiza maziwa / bidhaa za mazima toka kwao. Imekuwa ngumu kwao kupata kibali cha kuingiza maziwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom