Lyangalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2009 Posts 679 Reaction score 236 Apr 7, 2012 #1 Wakuu heshima kwenu! Ninatafuta aina ya lotion ambayo itanisaidia kuondoa mikunjo usoni kwa mtu mwenye uso mkavu.
Wakuu heshima kwenu! Ninatafuta aina ya lotion ambayo itanisaidia kuondoa mikunjo usoni kwa mtu mwenye uso mkavu.
vicent tibaijuka JF-Expert Member Joined Mar 22, 2012 Posts 268 Reaction score 59 Apr 7, 2012 #2 Lyangalo said: Wakuu heshima kwenu! Ninatafuta aina ya lotion ambayo itanisaidia kuondoa mikunjo usoni kwa mtu mwenye uso mkavu. Click to expand... kachomwe sindano ya botox
Lyangalo said: Wakuu heshima kwenu! Ninatafuta aina ya lotion ambayo itanisaidia kuondoa mikunjo usoni kwa mtu mwenye uso mkavu. Click to expand... kachomwe sindano ya botox
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,901 Reaction score 77,162 Apr 7, 2012 #3 Mmmh ngoja watalaam zaidi waje lakini nadhani mkuu ni maumbile tu.