Habari wana JF
Naombeni ushauri uso wangu umekua na mafuta sana hasa wakati wa jua kali, kuna njia,dawa au mafuta gani ya kutumia?
Natanguliza shukrani!

Mafuta ya usoni yapo ya aina mbili
1:mafuta yatokayo kichwani huyeyuka na kuchuruzikia usoni !!!Epuka kupaka mafuta mengi kichwani na tumia mafuta ambayo ni kwa ajili ya nywele tu
2: mafuta yatokayo ndani ya ngozi ya uso
Tiba ya aina zote mbili hakikisha unaoga mara mbili kwa siku ukitumia sabuni za carambola ukwaju au dudu , uwe na brush laini ya kusugua mafuta yote kichwani na kitambaa laini cha kusugua uso
Ukilala paka mafuta ya nazi tu usoni asubuhi ukishanawa vizuri usipake chochote
Jaribu hiyo kwa wk moja utaniamba