Kuombwa hela hata kabla ya mapenzi kuanza, maana yake nini?

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Oct 7, 2015
204
210
Wapendwa mabibi na mabwana naomba mnisaidie hii kitu kidogo. Unajuana na msichana either uliwahi kukutana nae or mmejuana through someone hamjawahi kuonana mpo mbali kidogo. Kati yenu ndio kwanza kuna dalili za kutaka kuanzisha uhusiano halafu unaanza kuombwa hela kwamba
samahani nina shida fulani naomba nisaidie shilingi kadhaa. Huyo msichana anakua na maana gani?

Nasema hivi maana mi sijui nawaoneaga sana au ni nunda maana nikishaona hizo msg ushetani unaniingiaga hapohapo siwazungukagi nawaambiaga ukweli then communication nao naipoteza kwa sababu huwa naishiwa kabisa hamu na huyo mtu.

Sasa hio ni sawa?
 
Ana uza mkuu!! Uliza tu bei gani? Kama ni wa mtandaoni achana nae atakutapeli tu.
 
ukiona umepigwa kizinga kabla ya kuona ndani ujue hujapendwa hapo.

''toka ndukii, we kimbia, ukianguka ukiumia, inuka vumilia, kimbia.''by Babuu
 
Mahali mtu ambapo utapewa bure ni ulipotokea tu! Labda utafute kulelewa!
Siku hizi mapenzi pesa ukiona huombwi pesa ujue huyo kadoda anabembeleza ndoa! Na mwanaume huna hela wanawake wa nini?
Wanasema kichwa cha chini kina nguvu mifuko ikiwa imetuna sasa wewe mifuko imesinyaa unahangaika nini?! Tafakari
 
ha ha ha ha....kwa hio size za dushe xl,xxl,xxxl wanavumilia, ila ka njaa kidogo tu hakavumiliki?!
we acha tu mwendo wa kutiana aibu tu kwa kuwa hawakwepeki mwendo wa njoo uchukulie nyumbani hutaki basi
 
Wapendwa mabibi na mabwana naomba mnisaidie hii kitu kidogo. Unajuana na msichana either uliwahi kukutana nae or mmejuana through someone hamjawahi kuonana mpo mbali kidogo. Kati yenu ndio kwanza kuna dalili za kutaka kuanzisha uhusiano halafu unaanza kuombwa hela kwamba
samahani nina shida fulani naomba nisaidie shilingi kadhaa. Huyo msichana anakua na maana gani?

Nasema hivi maana mi sijui nawaoneaga sana au ni nunda maana nikishaona hizo msg ushetani unaniingiaga hapohapo siwazungukagi nawaambiaga ukweli then communication nao naipoteza kwa sababu huwa naishiwa kabisa hamu na huyo mtu.

Sasa hio ni sawa?
Ukiona hivyo piga chini faster
 
Maana yake thats is the BUSINESS /kama biashara zingine kununua nyanya muhogo ,shati etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom