Kuombwa hela hata kabla ya mapenzi kuanza, maana yake nini?

Ukiwa na hela za mawazo ndo inakuwaga hivyo.
ila kweli mkuu ukiwa na pesa za mawazo lazima ikuume ukihonga ila ni vizuri vijana wakasoma alama za nyakati wadada siku hz ukiwapa pesa we ndo unajua mapenzi tutafute pesa mambo mengine baadae
 
Mahali mtu ambapo utapewa bure ni ulipotokea tu! Labda utafute kulelewa!
Siku hizi mapenzi pesa ukiona huombwi pesa ujue huyo kadoda anabembeleza ndoa! Na mwanaume huna hela wanawake wa nini?
Wanasema kichwa cha chini kina nguvu mifuko ikiwa imetuna sasa wewe mifuko imesinyaa unahangaika nini?! Tafakari
. Napita tu
 
No money no honey..Mpe buku tano mpige shoo ya maana mteme. We call it proffesional business.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom