Kuombea Dua taifa: Kwanini uwiano ni muislamu 1 wakristo 3?

Nimeona ktk dhifa nyingi za serikali wakati wa kuomba dua waislamu huwakilishwa na Bakwata na wakristo wanawakilishwa na Kanisa Katoliki, KKKT na Anglican. Swali langu je, sisi Wasabato ni lini tutakumbukwa?!
Daaah nilikuwa nawaheshimu sana wasabato ila wewe unawatia aibu wenzako.
 
Hili nalo linashangaza ! waislam na taasisi ya bakwata! wakirisito na taasisi zaidi ya moja! mpaka jana imetoka barua kwamba taasisi yoyote ikitaka kuleta mgeni LAZMA ipitie bakwata! hii si HAKI! kwanini hawakubali taasisi za madhebu mengine kama Shia na kadhalika!
 
Back
Top Bottom