Kuomba unyumba....

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
211
Reaction score
45
Jamani eeh kuna mtu ameniuliza swali nikakosa jibu la moja kwa moja, naomba uzoefu wenu hasa walio ktk ndoa...anauliza ukitaka kufanya sex na mke au mumeo usiku unamwambiaje? Au unarukia tuu na yeye anatajua kua unaitaka?....
 
Hivi kwanini wanandoa hawapaswi kulala na nguo...Humwambii kitu we unalianzisha tu...



Haswaaa

Maana mke mkeo tu haibiwi,pia huna haja
ya kuomba chochote toka kwake.
 
Unamwambia cheusi eee panua miguu mkwaju waja.
 
Duh! Kujikurupusha na kujipenyeza mapajani tu sio issue mazee! Wawezamkuta anableed!
....
Kama hewezi kumwambia unataka, si ujifanye chengu tu!
...
Mimi skubaliani nao wasiotoa taarifa kabla!
Unamkuta mmama wa watu kalala we hata kumuamsha unashindwa! Yaani unachomeka tu! Mmama anajiona anaota asituka anamkuta jamaa ndio kazidiwa na wazungu! Duh hii nouma Mazeee!
 
Noo! Unamwambia we mama bokhe rara vizuri nikurenge!
 
Kulianzisha tu sio kuchomeka tu bwana lazima utomasetomase lol kama mambo sio mazuri utaambiwa uwanja umejaa matope leo ndege haiwezi kutua/au kuna mvua ya manyunyu!
 
Jamani eeh kuna mtu ameniuliza swali nikakosa jibu la moja kwa moja, naomba uzoefu wenu hasa walio ktk ndoa...anauliza ukitaka kufanya sex na mke au mumeo usiku unamwambiaje? Au unarukia tuu na yeye anatajua kua unaitaka?....

yaani mpaka unamuoa ulikuwa unamwambiaje?
 
Jamani eeh kuna mtu ameniuliza swali nikakosa jibu la moja kwa moja, naomba uzoefu wenu hasa walio ktk ndoa...anauliza ukitaka kufanya sex na mke au mumeo usiku unamwambiaje? Au unarukia tuu na yeye anatajua kua unaitaka?....

hahahaaaa! Joka la kbisa haling'atiii. Kazi kwelikwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…