Kuomba Namba yake..

Kuomba Namba yake..

The Butcher

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
346
Reaction score
498
Wakuu salaam... Nina imani nyote mmeamka salama na kuanza weekend vizuri kabisa..
Kuna hili naomba wenye ujuzi zaidi tupeane mbinu hasa unapokua mtoto mzuri pembeni yako ambae humfahamu...
Unawezaje Kuomba Namba Ya Simu Kwa Mwanamke Bila Kumwambia "Naomba Namba Yako"?

Wataalamu Karibuni Kwa Mchango[emoji120]
 
Msalimie vizur salam nying kwa kujipendekeza then chukua cm yako bonyeza 07........... Mpatie cm amalizie namba kimya kimya hapo ushamaliza mchezo
 
Weekend imeanza tayar na mada za ki weekend, jf raha sana.
Nijikite kwenye mada mi kwa upande wangu huwa situmii code kuomba namba sema huwa naanzisha stori kuonesha nahitaji kumeet naye once again so ili tuweze kuweka appointment lazima tuexchange namba.
Akizingua kunipa napotezea akinipa harakati zinaanzia hapo. Ni hayo tu mkuu.
 
Msalimie vizur salam nying kwa kujipendekeza then chukua cm yako bonyeza 07........... Mpatie cm amalizie namba kimya kimya hapo ushamaliza mchezo
Hii mbinu natumiaga sana. Anakua hana choice tena
 
inategemea umemkuta wapi na body expression yake inasemaje!

mwanaume huwezi kukosa maneno au utundu wa kumuanza mwanamke....kwa mimi inategemea na mood yangu ya hiyo siku.
 
Weekend imeanza tayar na mada za ki weekend, jf raha sana.
Nijikite kwenye mada mi kwa upande wangu huwa situmii code kuomba namba sema huwa naanzisha stori kuonesha nahitaji kumeet naye once again so ili tuweze kuweka appointment lazima tuexchange namba.
Akizingua kunipa napotezea akinipa harakati zinaanzia hapo. Ni hayo tu mkuu.
Umemaliza mkuu
 
Mi mambinu yanakujaga hapohapo acordng to the situation
 
mtongoze kabla hujaomba no. mana we n mwanaume wa dar hutochelewa kumtongoza kwenye simu
 
Back
Top Bottom