Kuomba na kunyimwa?

Jina lako lina sound kama mpole ila we mkorofiiii
Ukorofi labda humu jf, huku mtaani naambiwa nimezubaa kuongea tu sijui.
Usiombe nikuhadithie kitu utachoka kunisikiliza nahisi nina kigugumizi🀣
 
Wewe umewahi kuomba nini ukanyimwa? Na ulijisikiaje?
Mtu anaekupenda hakunyimi ukiona umeomba ukanyimwa jua unaemuomba hakupendi temana nae tembea na wanaoukupenda wengine wanakupa bila hata ya kuwaomba wakikuona umepungukiwa hao ndio watu wa kua nao maisha mwako sio wenye viroho vya korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…