kuomba msaada toka kwa mpenzi.

kuomba msaada toka kwa mpenzi.

Acha ubabaishaji;
Acha kutuzuga;
Acha ujinga na utoto pia;
Achana na feminism;
U mwanamke;
Na utaendelea kuwa mwanamke​
Tumia haki yako ya msigi ya kuwa mwanamke.
Mungu alikuumba kwa ajili ya Mwanaume;
Wala sio mwanaume kwa ajili ya mwanamke.

Ni haki yako kusaidiwa mahitaji yako ya msingi na mpenzi wake (mwite upendavyo - Buzi, ATM etc).

Ndimi Bazazi!

hahaaaa.. umetisha baba asante sana kwa maneno mazuri
 
duuu ww wa ukweli yani unaona noma kumuomba bf wako daa endelea kuwa hivyo,maana madada wengi wa mjini ukiwa nae tu anakufanya ww ndio mzazi wake hata hawafikilii mbona baba yake hajampa hayo yote anayotaka ndo aje kupata kwako.dada big up kama ni tatizo la kawaida muite umuelezee usije mwambia kwenye simu atakuona wale wale wa mizinga.

Daniel asnte kwa ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
uje utupe na fidback jamani tecnicue utayotumia maana umeshauriwa mengoi ili nasi tuje tuaply, maisha yenyewe ndo hayahaya
 
uje utupe na fidback jamani tecnicue utayotumia maana umeshauriwa mengoi ili nasi tuje tuaply, maisha yenyewe ndo hayahaya

Suprise dear, naonaje sooo.. anyway will meet him this evening let me see kama nitaweza kubreak the news...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah Suprise nawe wataka kuanza kuomba nn? Its an art bt if wajiweza sioni logic ya kuomba yy kama sm1 anayekupenda na kukuthamin atakuhudumia now and then cyo hadi umwombe ukiona anangoja umwombe jua he is sm1 who is nt responsible and even in future atakusumbua kwenye kutake care of ur family....
uje utupe na fidback jamani tecnicue utayotumia maana umeshauriwa mengoi ili nasi tuje tuaply, maisha yenyewe ndo hayahaya
 
Last edited by a moderator:
Acha ujinga ww, face him isitoshe alitakiwa afanye hivyo bila hata ww kumlilia shida, if he is nt giving u sm1 is being given...open ur eyez
Suprise dear, naonaje sooo.. anyway will meet him this evening let me see kama nitaweza kubreak the news...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah Suprise nawe wataka kuanza kuomba nn? Its an art bt if wajiweza sioni logic ya kuomba yy kama sm1 anayekupenda na kukuthamin atakuhudumia now and then cyo hadi umwombe ukiona anangoja umwombe jua he is sm1 who is nt responsible and even in future atakusumbua kwenye kutake care of ur family....

hahaha cieolo inawezekana anatoa pale anapoona inafaa, bt kipindi wewe unashida ya pesa ye hajaguswa so nasubiri tecnic hizo ili demand imatch supply tusipishane bure
 
No mwanaume wa kweli anamhudumia mpenziwe throughout cyo kwa kubip ka msimu wa ckukuu,akiwa mtu wa kutoa kwa machale jua ndo walewale na uanze kujipanga vyema kuwa kichwa cha family

duuh kweli ngoja nichukue hatua
 
He is very lucky to have you.... wanawake wa hivi mnahesabika!!!!!

Mi sipendi kuambiwa ukiwa na shida niambie, shida zina mwanzo hazina mwisho...

Kwani ukinipa hela nitazitupa......!!
 
Acha ujinga ww, face him isitoshe alitakiwa afanye hivyo bila hata ww kumlilia shida, if he is nt giving u sm1 is being given...open ur eyez

Finally you are back from Mother Teresa!!!!!!!!! Its good to have you back! Ndo ukaninyima ule mkopo PM?
 
mashosti wazima..

nina bf tunapendana sana.. mi ninafanya kazi yenye mshshara wa kawaida ila yy ana kupato kikubwa. but i have always been independent na sijawahi omba pesa.

sasa nimepatwa na uhitaji sana wa pesa ila nashindws nianzie wapi kumwambia.. though amekua akisema nikiwa na shida nimwambie..

naogopa na sioni pa kuanzia.. msaada wenu plz..

i appreciate yo effort..
mwambie darling naomba unikopeshe kiasi kadhaa nahitaji kufanyia kitu fulani ntakurudishia siku fulani. simple and clear
 
Hahahah i hav both sides za maza teresa na za kitaa, ntakupa cwajua nilikuwa mishe,ngoja nikirud homu ntakuPM mainfo kwa pc
Finally you are back from Mother Teresa!!!!!!!!! Its good to have you back! Ndo ukaninyima ule mkopo PM?
 
wanaume wengi Hatutoi hela bila kuombwa..! pia usilete hadithi za kumkopa,hakuna kukopeshana wapenzi.wewe omba kistaarabu ikiwa bahati yako shida zako zitamalizwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom