kuomba msaada toka kwa mpenzi.

mburaa, u don't see yoself independent in any near foreseen future? yo totally lost, change the attitude, kuna maradhi vifo divorce etc vikitokea hivyo utaishije? unless kama unaona mbele that utakuwa nae forever.

Back kwa topic Aggiegra my X mwombe tu, mwambie unahitaji chapaa una shida akupatie usije adhirika eboo, mushirikianage sumtyms sio mbaya atii, infact atakuwa anajiuliza huyu mbona hajawai niomba doo ana mwingine nini.
 
Sio Mbaya kwa Mwanamke Kuomba pale Inapobidi ila ndio ucje UKACHONGA MZINGA KABSA, cunajua hata WAPIGA VIZINGA walianza kwa GIA kama yako.
 
No mwanaume wa kweli anamhudumia mpenziwe throughout cyo kwa kubip ka msimu wa ckukuu,akiwa mtu wa kutoa kwa machale jua ndo walewale na uanze kujipanga vyema kuwa kichwa cha family

Sikatai kuhudumia...swali ni, anamhudumiaje? what do u call clearing bills, buying gifts even when there is no occasion, et al. kuhudumia ni lazima umpe pesa?
@Daniel poul ebu nisaidie apo maana mi nashindwa kuelewa!!!!
 
mashosti wazima..

nina bf tunapendana sana.. mi ninafanya kazi yenye mshshara wa kawaida ila yy ana kupato kikubwa. but i have always been independent na sijawahi omba pesa.

sasa nimepatwa na uhitaji sana wa pesa ila nashindws nianzie wapi kumwambia.. though amekua akisema nikiwa na shida nimwambie..

naogopa na sioni pa kuanzia.. msaada wenu plz..

i appreciate yo effort..

me napita tu 7bu sio SHOST
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom