- Thread starter
- #21
Kinachokuogopesha ni nini?
Credit rating yako ni mbaya?
atadhani am after his money...
Kinachokuogopesha ni nini?
Credit rating yako ni mbaya?
wewe ni mwanamke wakisasa hapana kukopa kwa mpenzi wako kwanza wewe sio mke na utamfanya jamaa aone kama vileanalipia bupa. so wewe nenda kakope kwa mashosti wako na sio bf wako sawa. pesa ya mwanaume inaliwa na mwanamke sio kukopeshwa kwa mwanamke
acha ujinga wewe kwa hyo unaliwa tu, hata ya sabuni hpewi we upo mjini kwel?
Kusaidiana ktk mambo madogo madogo mi sioni km kuna ubaya. Hata km uko imdependent kiasi gani huwezi kujitosheleza kwa yote, matatizo hutokea na mtu wakwanza ambaye aweza kuwa kimbilio ni mpenzi wako. Provided kwamba hujawahi kuomba msaada kwake ukimwambia ataelewa as it is the first time.
Lord have Mercy!!!!!!!!!!!!! Atiiiiiiiiiiiii! Hujawahi omba chapaaaa! Mhhhhhh! Sasa unaishije mwenzetu! I have been using Bfs money since i was 11!!!!!!!!I dont remember being independent, i dont see myself independent in any near foreseen future!!
About how you should ask for the money thats ma area of expertise! Lets see how many options you got!
1.If you cant face him and beg, the best shot is text him! Its easier and safer coz he will think throughly before repliying calming his balls down before parting with his sweaty earned cash!
2.Start complaining cash shortage and declare bankruptcy! Subiria ajichinje mwenyewe! Ila hii makauzu wanachuna kimyaaa!
3.Ask him directly, japo hii mbinu hasara yake unaulizwa nikupe bei gani, ukijilipua na nipe iliyopo umekwishaaaa!
mmmmh sio rahisi kiivo bora kufa masikini kwa kweli
mzabzab mtata wewe! inaliwaje?
tuwe sirias lara hivi utamuombaje mtu hela? maybe anipe mwenyewe ila mimi siwezi hata kama sina miaUsipozila wewe zikaisha wanazila wenzio atiii wakati wewe mwenye mali umegeuka kopakopa UTD!!!!!!
mashosti wazima..
nina bf tunapendana sana.. mi ninafanya kazi yenye mshshara wa kawaida ila yy ana kupato kikubwa. but i have always been independent na sijawahi omba pesa.
sasa nimepatwa na uhitaji sana wa pesa ila nashindws nianzie wapi kumwambia.. though amekua akisema nikiwa na shida nimwambie..
naogopa na sioni pa kuanzia.. msaada wenu plz..
i appreciate yo effort..
tuwe sirias lara hivi utamuombaje mtu hela? maybe anipe mwenyewe ila mimi siwezi hata kama sina mia
aisee assume hana unadhani atajisikiaje?Sasa gumu lipi hapo? Si unatext tu! "Dear missing you much! Nimepungukiwa 500,000/= please nijazie nikanunue ila flat screen! Niko dukani hapa naingojea hiyo MPESA! Love you mingiiiiii! Jioni nakuja kulala huko kwako honey, usisahau kuja na kuku wa kuchoma na redds za kutosha"
Baaaaaaaaaaaass! Kigumu kipi hapo sasa? Hapo bait ni kwenda kulala kwake! Asipotuma hiyo hela ajue analala mwenyewe na mito! Nyamaaaaaaaff!
Sasa gumu lipi hapo? Si unatext tu! "Dear missing you much! Nimepungukiwa 500,000/= please nijazie nikanunue ila flat screen! Niko dukani hapa naingojea hiyo MPESA! Love you mingiiiiii! Jioni nakuja kulala huko kwako honey, usisahau kuja na kuku wa kuchoma na redds za kutosha"
Baaaaaaaaaaaass! Kigumu kipi hapo sasa? Hapo bait ni kwenda kulala kwake! Asipotuma hiyo hela ajue analala mwenyewe na mito! Nyamaaaaaaaff!
asante..but sihitaji kuhongwa my dia..
maybe nimkope labda.. yaani najisikia ovyo sana hata sijielewi..
aisee assume hana unadhani atajisikiaje?
siwezi kusema chochote maana walioulizwa ni mashosti...na mimi si shosti heheh
tuwe sirias lara hivi utamuombaje mtu hela? maybe anipe mwenyewe ila mimi siwezi hata kama sina mia
Atafute anipe ebooooo! Uanaume ndo huo KUMAKE THE IMPOSSIBLE HAPPEN!!!!!!! Mi hizo sina, sina siziendekezagi kabisaaaaa!
Sijui nyie wenzangu! I always take a guy who can afford me! mambo ya kukaaa sina raha kisa hatuna pesa siyataki kabisaaa! I can understand pesa imechelewa ila sio haitopatikana! Loooooh!
mchaga wako wa tofauti lara, hawazi maduka na mitaji kweli awaze kutimiza matakwa yako