Wakuu nani amefanikiwa kuomba kazi online TRA?
Mimi niliomba mara ya kwanza nikapewa code ya kuwa natumia. Leo nimeenda kuaply kazi nyingine, nikiweka ile code inafunguka lakini nikichagua ile sehemu ya Vacancy List "inanambia kwamba the job you applied using this code is closed" na hapo inakuwa haileti kitu kingine zaidi.
Kwahiyo nimeshindwa kuaply wakuu.
Kama kuna aliyefanikiwa msaada wake wa maelekezo ni muhimu sana na natanguliza shukrani.
Sasa mimi ndio kabisaaa hii siku ya 4 naunga bundle kila niki fungua job application mzigo una load weeeeeeee bila mafanikio... na close nalala nawai kuamka saa 12 nione kama net itakua poa lakin bado web ina zengua balaaa
sio kwa nn unatumia codr ambayo ulishawah kuitumia,swala ni kwamba kama ulishawah kuomba kaz tra unapewa ref no.ambayo ukiona tangazo lao unakua tu una update to taarifa zao,ninachoshangaa kwamba kwa nn azitoi. option ya kuchagua nafas unayoitaka???