Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,209
- 27,026
Hahahahahahahahaha gademuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wenzio hawaombi, wanadai kabisa. Utaona msg, 'baby sasa ile hela vipi nachelewa saluni mwenzio' kama vile aliiweka.
Indirectly sio DIRECTLYDirect kivip?
Sidhani kama hao wenzako watakuelewa wewe utapaa mume mwemaAisee hata mimi kumuomba boyfriend hela ni mtihani,bado sijapata kazi lakini hiyo hainipi sababu ya kuwa ombaomba.Kama sina vocha nitasubiri mpka unipigie,Nadhani ifike sehemu sie wanawake tuwe na aibu tusipende kutangaza shida sana.
Acha kumdanganya mwenzio bana[emoji85]Sidhani kama hao wenzako watakuelewa wewe utapaa mume mwema
Ningekupata wewe mbona ningefurahi mimi. Endelea na hiyo tabia nzuri kipenzi.Yani mm sijui niko vipi ,sijuagi Kabisa kumuomba hela mwanaume, akinipa mwenyewe sawa,Ninaweza nikasema ngoja Leo nimuombe hela mwanaume lakini nikianza kuandika SMS tu nafuta na achan na hiyo ishu.japo siwezi omba face to face.sijui na kwa wenzangu ni hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbinu mbadalaIndirectly sio DIRECTLY
Kumpitisha MME mitaa ya Samora then unajisemesha semesha "baby ile perfume nzuri",mme anatoa laki 2 ananunua perfume!
Hapo ni kuwa umeomba INDIRECTLY,nyie hamjambo kwa kuomba
Mbona tupo wengiWewe ni almasi....wanaume wanatafuta wanawake sampuli yako hawawapati....
Ehm kuna ukweli hapo!?!?Mbona tupo wengi
Na usipoombwa ewe mume ujue kuna wanaogharamiaendelea hivyo hivyo.... kuomba hela ni tabia mbaya, utakosa mume 🙂
kwani hamuezi kujigharamia wenyewe...Na usipoombwa ewe mume ujue kuna wanaogharamia
Nasubiri ule muamala ujue....kwani hamuezi kujigharamia wenyewe...
hahha we special case... muamala lazima ukamilike!!!Nasubiri ule muamala ujue....
Sio kweli mkuu[emoji17]endelea hivyo hivyo.... kuomba hela ni tabia mbaya, utakosa mume 🙂
uh uh uh[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]hahha we special case... muamala lazima ukamilike!!!
Hehhe kwahiyo kuomba hela ni tabia nzuri enh!!!Sio kweli mkuu[emoji17]
uh uh uh[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Naturally God create us to receivekwani hamuezi kujigharamia wenyewe...
Ni nzuri kama unamuomba mlengwa lakini ni mbaya kuwa omba omba kwa kila mtuHehhe kwahiyo kuomba hela ni tabia nzuri enh!!!