Kuomba hela mwanaume/mpenzi

Kuna kipindi nilikuwa field mahali na mdada mmoja wa ujeruman arusha. Siku moja akaniomba nimpeleke masai camp tukapanda kifodi/haice nauli njiani akalipa yake tu. Baadae hotelini mchana akalipa bill yake tu..nilimpenda saana huyo mdada
Ulipata raha.ila mm nikitoka nae out,majukumu ni yake ,na nikitoka mwenyewe nikimuaga ananiptia mshiko bila kumuomba
 
Wewe ubarikiwe sana
 
Hahaaa.wewe kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulipata raha.ila mm nikitoka nae out,majukumu ni yake ,na nikitoka mwenyewe nikimuaga ananiptia mshiko bila kumuomba
Mdada mwenzako unamwomba pesa anapiga kazi uko..wewe unamwomba tu
 
Aisee hata mimi kumuomba boyfriend hela ni mtihani,bado sijapata kazi lakini hiyo hainipi sababu ya kuwa ombaomba.Kama sina vocha nitasubiri mpka unipigie,Nadhani ifike sehemu sie wanawake tuwe na aibu tusipende kutangaza shida sana.
 
Hii watakuelewa wale "ombaomba"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…