Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
Yaani husidhubutu kujichanganya subiri ukifika chuoni utaangalia kama kuna uwezekano wa kubadili faculty Maana hsli ya sasa wengi wamekosa round zote mbili ushindani n Mkubwa kama umepata shukuru munguDuh mkuu yan ww unataka kujichanganya mwenywe mkuu yan kwa udahili wa sasa ukipata unashukuru na mungu mkuu kwa vyuo km udom udsm na mzunbe .ww haujiulizi kwann wamekuchukua choice ako ya 7 mmmmh subir wanajamvi waje mkuu wenda utapata ushauri mwngne mzuri zaidi ya huu
asante kwa ushaur wako mkuuYaani husidhubutu kujichanganya subiri ukifika chuoni utaangalia kama kuna uwezekano wa kubadili faculty Maana hsli ya sasa wengi wamekosa round zote mbili ushindani n Mkubwa kama umepata shukuru mungu
dah naanza kuelewa sasa kwann watu hawasomi vile wanavyovipenda.na mm nadhan naenda kuwa mmoja waoYaani husidhubutu kujichanganya subiri ukifika chuoni utaangalia kama kuna uwezekano wa kubadili faculty Maana hsli ya sasa wengi wamekosa round zote mbili ushindani n Mkubwa kama umepata shukuru mungu
Kubadili faculty!!!???Yaani husidhubutu kujichanganya subiri ukifika chuoni utaangalia kama kuna uwezekano wa kubadili faculty Maana hsli ya sasa wengi wamekosa round zote mbili ushindani n Mkubwa kama umepata shukuru mungu
Bora kuahirisha mwaka usubiri mwaka mwingine kuliko kusoma kitu usichohtajidah naanza kuelewa sasa kwann watu hawasomi vile wanavyovipenda.na mm nadhan naenda kuwa mmoja wao
Yaan kwa miaka hiii kupata chuo imekuwa n vigumu sana hivyoo akiachia hi I nafasi atapoteza muda na malengo yakeBora kuahirisha mwaka usubiri mwaka mwingine kuliko kusoma kitu usichohtaji
Anaweza kuahirisha na mwakan yakawa yaleyale kila mwaka compititn inaongezekaBora kuahirisha mwaka usubiri mwaka mwingine kuliko kusoma kitu usichohtaji
Tulioacha mwaka Jana bado tunazd kuhesabu round tu... Now Tupo ya tatu na furaha haijarejea..... Imenibid round hii nkasome hta theatre art babekAnaweza kuahirisha na mwakan yakawa yaleyale kila mwaka compititn inaongezeka
aisee bora hata mfumo wa mwaka jana,mwaka huu ni balaa tupuTulioacha mwaka Jana bado tunazd kuhesabu round tu... Now Tupo ya tatu na furaha haijarejea..... Imenibid round hii nkasome hta theatre art babek