Kuomba ajira za ualimu 2020

Kuomba ajira za ualimu 2020

.....Kama unalijua hilo imekuaje ukahusianisha hoja ya uandishi wa barua na degree..? Afu usikariri maisha kudhani kila anaechangia huu uzi anasubiri ajira akiwa kwa shemeji yake kama ww..mwaka wa nne huu napokea mpunga kwenye ATM za nmb kila mwisho wa mwezi...

Umetumia muktadha gani kuuliza swali lako kwamba "kuwa na degree ndio kujua kila kitu?... inaonekana una ukilaza flani hivi, so relax usipanic! Ona sasa ulivyopanic hadi unataja sijui unapokea mshahara kupitia nmb, ni hiyo 400K ndio inakupa kiburi na stress ee? Sawa nakaa kwa shemeji lakini hiyo 400k ndiyo matumizi ninayoyafanya hapa kwa shem kila wikiend!
Sasa unataka kujilinganisha na mimi ama?
...mimi nafunga hesabu kwa siku, ambapo ukikusanya hizo digits zako sita unazodai unapata sijui mwisho wa mwezi kwa miezi isiyopungua mitano ndio funga yangu ya siku!
So usitake kujua mengine nje ya keyboard huku, utajikuta unapasuka kwa wivu na hasira bure!
 
Huu ndio mpango mzima
Changa la macho ili kupunguza waombaji ambao mwisho wa siku, kama nafasi zipo wanapangiwa uswekeni mpaka unachoka kufikiria kwenda kuanza kazi kituoni kwenye vijiji vya LUPATU
 
Umetumia muktadha gani kuuliza swali lako kwamba "kuwa na degree ndio kujua kila kitu?... inaonekana una ukilaza flani hivi, so relax usipanic! Ona sasa ulivyopanic hadi unataja sijui unapokea mshahara kupitia nmb, ni hiyo 400K ndio inakupa kiburi na stress ee? Sawa nakaa kwa shemeji lakini hiyo 400k ndiyo matumizi ninayoyafanya hapa kwa shem kila wikiend!
Sasa unataka kujilinganisha na mimi ama?
...mimi nafunga hesabu kwa siku, ambapo ukikusanya hizo digits zako sita unazodai unapata sijui mwisho wa mwezi kwa miezi isiyopungua mitano ndio funga yangu ya siku!
So usitake kujua mengine nje ya keyboard huku, utajikuta unapasuka kwa wivu na hasira bure!
....Poa mm kilaza wewe mwerevu endelea kufurahia kuhongwa pesa na shemeji yako ila usisahau huko nyuma kupasafisha maana ipo siku atapahitaji...
 
...Punguza ujuha..Kwani mtu kuwa na degree ndo kujua kila kitu?
Shame on u!! Yaani degree holder, ashindwe kuandika application letter, useme eti kuwa na degree sio kujua kila kitu????? Nina wasiwasi na elimu yako labda kama ni std seven, nisamehe mimi!!!
 
Mkuu ungenipinga kwa hoja na sio kunituhumu, ugumu wako wa maisha.unataka uuhamishie kwangu,?

Ngoja nikueleze kuwa mwalimu wa kingereza kuna topiki kama moja kwa kidato cha pili inayohusu uandishi wa barua ,kidato tatu na cha nne vile vile,sasa kwa mwalimu wa kingereza asiyejua kuandika barua atamfundisha nini mtoto wa kidato cha pili

Ndo maaana katika hoja yangu nimetaja mwalimu wa history na kingereza, angekuwa wa hesabu na fizikia nisingeshangaa

Mwisho wa siku punguza jazba kwa hoja za mitandaoni maana utakufa mapema kabla ya umri wako halali.
Acha ujuaji, unapoandika kitu na kina formart vyema kugelezea Fotmart na si kujifanya mjuzi kuandika from kichwani ni pale panapokuwa hakuna formart tu Barua ya kuattach tamisemi ina partcular nyingi complecated ambazo inabidi applicant aone waliotangulia wameandika vipi.

Punguza ujuaji.
 
Back
Top Bottom