MWAMTOBE
Member
- Jun 18, 2012
- 85
- 21
Wadau Habari za Leo. Mwenzenu nimekwama kwenye kuomba kazi ya ualimu kwa mfumo wa TAMISEMI.
Nilifungua account na kila nikilog in inagoma kabisa inaniandikia wrong credentials. Nikijaribu kwenda ku reset password, naambiwa Failed to deliver to..... (email).
Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia jambo hili nitashuruku Sana.
Ahsante sana