Kuolewa

kuolewa ni kumsogezea huduma za kimwili mwanaume.
 
Hayo mambo ndio yanatufanya wengine tuogope kuolewa unamtii mumeo na kumsikiliza kila anachosema hata kama amekosea anakuonea wewe unakuwa passive mh! ni kazi kwelikweli

inabidi tuchunguze kati ya wazungu na waafrica nani ana afadhari kwenye ndoa tutajua kama tudumishe mfume dume au la
 
Ninavyoamini kuolewa nikusign death sentence and putting yourself in death row untill God knows when!
 
naona wengi mnalaumu na kusema habari ya mnachokiita "mfumo dume" mnauelezea na kuupambanua kama vile wanaume ndio wameutengeneza wakati huohuo mkiamini ktk vitabu vyenu vitakatifu ambamo ndani yake imepambanuliwa vyema (na yule mwenye mamlaka, ambao wote mnamkubali japo kwa majina tofauti) tofauti ya kimajukumu kati ya mtu mke na mtu mume na vitabu hvyo mpaka leo vipo, mnavitumia na havijabatilishwa popote. Mbali na dini zenu pia historia imekuwa hvyo miaka nenda, miaka rudi. Na kama Eiyer anavyosema lazima kuwe na kiongoz sehemu yoyote, vitabu na historia vinambeba mtu mume hata hao wazungu wanaotumia neno "married" kuonyesha mke au mume kuingia katika "ndoa" bado haimaanish mke kuwa na sauti juu ya mume ktk familia.
 
Last edited by a moderator:
Kuolewa kuna maana gani?
Mwanaume anaposema 'siwez kupika (mfano) kwani mi ndo nimeolewa?'
Does it mean kuolewa haina tofauti na kua mtumwa wa mwanaume?
Does it mean wanaume wanaoongea hayo hawajui maana ya kuoa?
What does kuolewa mean?
Mpendwa; kwa uelewa wangu kuwa life imegawanyika kimafungu:- utoto, ujana, utu uzima, uzee.....
ili kukamilisha last phase ya maisha ni kuwa na mwenza (kuoana/kuolewa) hapo unakuwa na mshirika wa maisha na hadi kuzikana. Msafara huo ni sharing and caring pamoja.
 
Kuolewa kuna maana gani?
Mwanaume anaposema 'siwez kupika (mfano) kwani mi ndo nimeolewa?'
Does it mean kuolewa haina tofauti na kua mtumwa wa mwanaume?
Does it mean wanaume wanaoongea hayo hawajui maana ya kuoa?
What does kuolewa mean?

Tatizo kubwa ni pale unapokubali kuolewa / kuoa.

Inachotakiwa ni kuoana. Kama vile viatu, ukiwa mguu mmoja na njuti na mwingine kanda mbili, hivyo havioani. Inabidi amma vyote viwe njuti amma vyote viwe kandambili.

Kwa Waislaam waliooana na wenye vigezo (Mali zao, uzuri wao, nasaba zao, ucha mungu wao) huwa hakuna shida katika kujuwa ni nini maana ya kuoana.

Kuoana ni kukubaliana kwa mkataba wa ndoa, unaweza kabisa kuyaainisha yote ambayo mwenza wako anakubali atayafanya na wewe ambayo unakubali utayafanya huko ndiko kuoana.

Mfano kupika, kufua, kusafisha nyumba, kuhudumia wageni, kufanya kazi, kulea watoto, hivyo vyote ni maridhiano ya pande mbili. Lakini sio lazima ya mwanamke aliyeolewa kuyafanya. Mwanamke (kwa ndoa za Kiislaam) anatakiwa "alishwe na avishwe" na mumewe. Hayo ni majukumu ambayo hayana mjadala bali kuna kusaidiana tu.

Kulishwa na kuvishwa siyo kwa maana uletewe chakula kibichi, la hasha. Utakilaje? hapo inatakiwa mwanamme ahakikishe anakupa unachokula kutokana na nasaba na "status" yako aliyokukuta nayo na ikiwezekana aiboreshe, hali kadhalika kwa kukuvisha. Kukulisha na kukuvisha ina jumuisha pia afya yako, utakulaje kama hu mzima? utavaaje kama hu mzima?

Mwanamme kuoa, ina maanisha kakubali masharti yako ya kuolewa. Wengi wetu hufikiri hayo masharti yanaishia kwenye mahari tu, la hasha. Hayo masharti ya mpaka akubali kuoa yanaweza kujumuisha kila lenye umuhimu kwenye maisha mradi halikiuki vigezo vya Uislaa (kwa Waislaam).

Sijui ndoa za wasio Waislaam na hukum zake zilivyo lakini nna uhakika zina ukandamizaji sana kwa wanawake, kwani nasikia Kikristo mpaka jina lako la familia hulitumii tena unatumia la mumeo, huko ni kudhalilishana sana, kwanini utumie jina ambalo huna nasaba nalo, imekuwa ndoa au utumwa?
 
nionavyo mimi, ndoa maana yake ni MAELEWANO...kama mnaelewana hakutakuwa na ishu km ooh kwani mimi nineolewa, etc,....mnapoelewana kila kitu kinakwenda automatically mfano kupika, automatically mke unajikuta uko huko unafanya shughuli hizo, laa km unaumwa basi bado ni MAELEWANO ndo yatakayomfanya mume asaidie kazi hiyo...so hapo nionavyo mimi, suala kubwa ni MAELEWANO tu..lolote linawezekana.
 
kwani mnaridhikaga nyie?

Hujambo Husninyo?
Habari ya Mpwapwa?
Vipi Kiboriani na bhangi na mirungi yao wazima?
Kwani kutoka kutongoza wanawake kumi hadi mmoja kwa siku sio kuridhika?
Wanaume huridhika tena sana.
Bazazi ni mmojawao ingawa yeye ni Nyamaume.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana mimi kuolewa sitaki, nataka KUOANA!!!!!!!!!!! LOLEST!
toa mahari 50/50 ili 'tuoane' lol

kibongo bongo wewe ukubali kuwa nyumba ndogo ya some rich guy ndo uta enjoy
sababu hataweza kukuchunga....wala kukuganda

atakujali kama mke at the same time una uhuru wako...
are u in?
she gets the best of both worlds. pia hapati karaha za ndoa' yeye kila siku ni 'honeymoon'
 

usiumize kichwa kujiuliza itakuaje, sina mpango wa kuwa 'slave'.
 
Last edited by a moderator:

u hv a gud idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…