Kuolewa

Kuolewa

swali lako inategemeana

waswahili au waafrika kuna kuoa na kuolewa

but wazungu hakuna hiyo,wanaoana

sasa wewe kama unataka usawa wa kizungu nayo ni tabu...
kiafrika ukiolewa unamsikiliza mumeo,unamtii....sio na wewe ulete amri zako
 
we umeoa!!!!
 
ni mtazamo wangu tu jamani.....kiafrika, kuolewa ni sawa na kuikana nafsi yako na kuwa chini ya "kichwa cha nyumba". mfumo dume uko hata miongoni mwa wanawake wengi tu. baadhi ya wanawake hawapendi kuwaona waume zao wakifanya "kazi za wanawake" including cooking, washing, etc. na ikionekana mume anafanya hayo kwa ridhaa yake, watu husema kapigwa kipapai/limbwata.

mfumo dume is deep rooted and it can't be easily uprooted.

omba Mungu akuongoze upate mume aliyekombolewa ,kifikira ili asikufanye mtumwa wake.
 
Kuolewa si lazima/ ila inaongeza heshma/ina hadhi yake/haijalishi we ni mke wa kigogo au mkulima_mwanafa.
Wengine wanaolewa ili wapate tu respect kuwa yeye sio nungayembe!!
 
Ndo maana mimi kuolewa sitaki, nataka KUOANA!!!!!!!!!!! LOLEST!

kibongo bongo wewe ukubali kuwa nyumba ndogo ya some rich guy ndo uta enjoy
sababu hataweza kukuchunga....wala kukuganda

atakujali kama mke at the same time una uhuru wako...
are u in?
 
kusaidiana ni kitu cha msingi sana katika ndoa japokuwa kila mtu anamajukumu yake ya msingi.kama ni muumini mzuri wa biblia utaona kila mtu(adam&eve)alipoumbwa alipewa majukumu yake ya msingi.hata laana kila mtu alipewa yake.lazima utambue tu majukumu kila mtu ana yake though we are complement to each other
 
Kuolewa simply ni kitendo cha mwanamke kutolewa himaya ya wazazi/ walezi wake kwenda kuwa chini ya himaya ya mumewe.

.

hapa ndipo ninashindwa kuelewa kwanini niwe chini ya himaya yake???ni kwanini sote tusiwe chini ya kila mwenza?kwamba yeye yuko juu nad mwenye final says???
 
swali lako inategemeana

waswahili au waafrika kuna kuoa na kuolewa

but wazungu hakuna hiyo,wanaoana

sasa wewe kama unataka usawa wa kizungu nayo ni tabu...
kiafrika ukiolewa unamsikiliza mumeo,unamtii....sio na wewe ulete amri zako

l used the word kuolewa ambalo linatumika kwetu tu (kiafrika)
Sihitaj kugeza mambo ya kizungu, ila nataka kujua heshima ya mwanamke kwa maana ya 'kuolewa'.
Kama hakuna tofauti na utumwa then its humiliation, can't you see that Sir?
 
swali lako inategemeana

waswahili au waafrika kuna kuoa na kuolewa

but wazungu hakuna hiyo,wanaoana

sasa wewe kama unataka usawa wa kizungu nayo ni tabu...
kiafrika ukiolewa unamsikiliza mumeo,unamtii....sio na wewe ulete amri zako

Hii kweli ndio waafrika tulivyo name tamaduni zetu,Nina experience an ndoa yangu,na haya ndio yanayotuongoza
 
Kuolewa simply ni kitendo cha mwanamke kutolewa himaya ya wazazi/ walezi wake kwenda kuwa chini ya himaya ya mumewe.

Definition hii imezingatia maudhui ya sredi yako...

Na definition ambayo haijazingatia content ya sred hii ni ipi?
Pls tell me.
 
Back
Top Bottom