Kuolewa kuna raha zake!

Halafu kwanini unapenda kutaja wake za watu kila siku bila ruhusa ya wenyewe.
Wake kwa waume wamepewa majina ili waitwe na watu na si kujiita wenyewe....... Wakijiita wenyewe ni sawa na kujipigia simu.... tehe teheheee.
 
Haya mama watoto,copied!
 
Ndio maana unatakiwa km ni kuolewa uolewe na mtu unayempenda/anayekupenda na si kufuata materials....ukienda kwa upendo mtaishi kwa upendo...ukiingia kichwa kichwa kuiga wenzio ndo hayo yanawakuta fuuull kulalama
 
MashAllah faida yake ni SAMAWATI wa ALARDH .... ( skies and earth) !!
 
Mwachen afaid hata mie nilikuwa naona dunia yote yangu lakn now najutaje
Hakuwa ubavu wako huyo, mlifosi tu kwa sababu zenu weneywe lakini haikuwa mpango wa Mungu. Wako yupo na ukimpata utakula mpaka kokwa (yaani mpaka kifo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…