Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
- Thread starter
- #41
Hayo mawazo yako bado hayajanifanya niwe open minded at all😂😂😂📞...I don't know why Watu huwa hawataki mawazo tofauti...Kwaiyo Unachofikiria Wewe...kila mtu afikirie hivyo...ukipingwa unaona Watu wanshida.
Kuwa na open mind madam YouTuber.
Sana Sana umenifanya nione kizazi chako ndivyo mlivyo