Kuogelea kusingekuponya ajali ya MV Nyerere

Kuogelea kusingekuponya ajali ya MV Nyerere

Na hapa ndipo penye shida !!. Utasikia either waziri, au hata mwenyewe akidai MAPATO yameongezeka au muwe wabunifu kuongeza mapato. How ?! Kama si kuzidisha abiria na mizigo !!.

Kuna mambo yapo complicated sana.

Why unadhani kila Siku kusingizia viongozi. Lini mtajua kuwa ni wajibu pia Wa Sisi Raia kulinda maisha yetu.
 
C & P

Fundi Alphonce Cherehani aliyeokolewa leo hii akiwa hai, amethibitisha kwamba, chanzo cha ajali hiyo ni overloading na simu ya muendeshaji.

Kwamba alikuwa anaongea sana na simu ya mkononi hadi akajikuta amelivuka gati. Alipojaribu kulazimisha kona kali kuelekea gatini, ndipo magunia ya mahindi yakaporomoka na kuikata mtama feri.
Nimeisikia hii,, bora nayeye amekufa. Ni mzembe kabisa alikuwa Huyo nahodha
 
nafeel sana mtu anavyokata roho kwa kufa maji, nilinusurika miaka ya nyuma zenji uko,
amna pa kukamataz, maji hayana sapoti, huweziyashika
Inaumaaaaa sana.Nyiee.I.can feel those little kids.
 
Dawa ni kuvaa ma life jacket tu aisee, poleni kwa majanga
Hivi umeelewa kweli alichoandika mtoa mada? Au umecomment bila kusoma? Au ndio yale ya wanawake kuwa na uwezo mdogo wa kuchangia mada ngumu? Au shida yenu ni nini?
 
Wasamehe kwenye maji na moto mimi nakuwa mpole kabisa
Wapumzike kwa amani
 
Hivi umeelewa kweli alichoandika mtoa mada? Au umecomment bila kusoma? Au ndio yale ya wanawake kuwa na uwezo mdogo wa kuchangia mada ngumu? Au shida yenu ni nini?
Mamako aliye kuzaa ndo ana uwezo mdogo mada nimeielewa sana tu wewe na hilo bichwa lako ulilokunywa viroba ndo hujaelewa mxiiiiiiu
 
kuna wakativtunajisahau hatuvai, sawa nacwapenzi wakizoeana wanaaminiana hawatumii mpira
Hahaaaa sema Watanzania tu napenda sana mazoea mabaya na kusahau tahadhari
 
Unaweza kuta kuna mtu alinusurika zile za Zanzibar zote mbili lakini hii ikamchukua. Hii inaonekana ilikuwa ya ghafla sana kwa kawaida ungetegemea watu wa kisiwani wangepiga mbizi lakini mazingira hayakuwapa hiyo chance
 
Jamani visiwa vina mauzauza. Mfano huko ukara kuna jamaa huwa anatikisa jiwe kubwa kwa mkono hata tbc walishamtembelea, huyo jamaa akiamua kutikisa pantoni haitazama kweli? Pili kuna kibabu kenyewe hukalia mamba ndio kiti chakenyewe huyo mamba anaitwa bulalo. Hebu jiulize mita 50 kweli licha ya kuogelea siunatembea kwa miguu tu hadi upande wa pili
unaleta ujuzi wa mashabiki wa mpira wa kumfundisha kocha wasiyemfahamu ? Au basi niseme kwa vile hujaguswa na tatizo ndo maaana unasema shombo zako hapa. Mungu ni wa wote kumbuka hawakuchagua ajali hiyo iwapate.
 
Mizaha mingi mfano ukipanda mwendokasi had watu wanashindwa kupumua humo ndani sasa usipojifunza kujijali no one cares pakitokea majanga
hivi gari ikijaa why ulazimishe kupanda?
 
Mamako aliye kuzaa ndo ana uwezo mdogo mada nimeielewa sana tu wewe na hilo bichwa lako ulilokunywa viroba ndo hujaelewa mxiiiiiiu
Mtu anakwambia kabisa kuna aina mbili za ajali, ya kwanza ni ya kuzama taratibu na ya pili ni ya kupinduka ghafla, na akasema kabisa ajali iliyotokea ni ya aina ya pili ambayo watu hawana muda wa kugawana maboya, halafu wewe unakuja na kusema eti dawa ni ajali ikitokea wavae maboya, sasa hapo unajiona uko sawa?
 
We acha tu kuna watu utadhani waganga wa jadi wanavyoshauri
 
Back
Top Bottom