Kwa jinsi wabongo tulivyo sidhani kama hizo life jacket zinatolewa kwa kila abiria.Dawa ni kuvaa ma life jacket tu aisee, poleni kwa majanga
Tembelea vivuko hivi vya serikali na binafsi utaujua ukweli utakaokuweka huru.
Inanishangaza piaMimi kinachonishangaza inakuwaje umbali wa mita zisizozidi mia wafe watu wengi kiasi hicho
Pole sananafeel sana mtu anavyokata roho kwa kufa maji, nilinusurika miaka ya nyuma zenji uko,
amna pa kukamataz, maji hayana sapoti, huweziyashika
Kama ktk vivuko vya kigamboni. Inasikitisha.Maboya ya kujiokoa yalikuwa yamefungiwa kwenye stoo kwa kufuli kubwa!.....This is Africa!
Kwa stahili hii yakupinduka inawezekana kabisa mkuu ukiongezea na maandalizi ya serikali yetu dhidi ya maafa hayaMimi kinachonishangaza inakuwaje umbali wa mita zisizozidi mia wafe watu wengi kiasi hicho
Mi naona wawekwe trafiki baharini kukagua kuwa watu wapo sawa
kuna wakativtunajisahau hatuvai, sawa nacwapenzi wakizoeana wanaaminiana hawatumii mpiraDawa ni kuvaa ma life jacket tu aisee, poleni kwa majanga
ilikuaje mkuunafeel sana mtu anavyokata roho kwa kufa maji, nilinusurika miaka ya nyuma zenji uko,
amna pa kukamataz, maji hayana sapoti, huweziyashika
Yote uliyoongea yapo tatizo ni utekelezaji wakeVivuko vyote viwe na "life rings" za kutosha na maboya mengine ambayo namba yake inalingana na namba ya abiria na wahudumu mpaka nahodha.
KIla sehemu yenye kivuko iwe na boti ndogo ambazo zina waokoaji wa dharura na wameajiriwa kwa kazi hiyo.
Pia kila boti iwe na vifaa vyote muhimu maboya, matairi, na kila aina ya kifaa cha uokoaji.
Vijana wa ukokoaji wawe wameingizwa kabisa kwenye payroll ya idara ya maafa kila sehemu yenye kivuko.
KIla sehemu ya kivuko pawe na utaratibu wa kuchuja abiria kwa kuweka uzio maalum au "barriers" ambapo mkataji tiketi anaambiwa kwamba namba imetosha na sehemu ya kupita kwenda ndani ya kivuko inafungwa.
Kwa mfano kwenye MV Nyerere namba ya tiketi ikifiikia 101 ambayo ndo namba ya abiria wanaoruhusiwa kuingia kwenye ivuko basi inapigwa stop, na abiria wengine wanangoja kivuko kiende na kirudi.
Serikal iijaribu kuwekeza zaidi kwenye sekta hii ya vivuko kwani vikiwa zaidi ya kimoja, vitasaidia suala la usafiri na pia vivuko hivi vitaiingizia mapato serikali yenyewe.
Mwisho, serikali iruhusu watu binafsi waingize vivuko vyao na wafanye biashara hii badala ya kutegemea vuvuko vyake ambayo inashindwa kuvisimamia kupitia wasimamizi wake.