Kuoga, Kwanini?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,895
Reaction score
18,860
napenda kujua, hivi ni kwa nini wanasema ni lazima kuoga baada ya kufanya Mapenzi?
 
Kwanini ni lazima kunawa baada ya kula? imagine umekula pilau na mara nyingi pilau inaliwa kwa mkono,au umekula ice cream ya bakhresa unaonaje usipo nawa baada ya hapo?
 
dah hii kali!kwanini umeuliza hivyo mkuu?
 
Kwahiyo we ulitaka usinawe!hakuna tatizo lolote kama hivyo ndivyo unavyopenda,maana wengine mnapenda kusikilizia ile odour ya lile tukio,ingawa pia wapo wanaokuwa embarrased na hiyo odour,sasa sijui utatumia kifaa gani kuitunza isipotee ili usiwabughudhi watu wanaokuzunguka.
 

Nimeuliza hivyo kwa maana nilifikiri ni zaidi tu ya harufu, kwa maana kuna wengine ni ishu yaani ni lazima aoge, sasa hii kitu huwa inanichanganya, kwa maana mtu si unaweza pia tu kuosha uume au uuke wako kwa maji halafu poa tu maisha yakaendelea!
 
dah hii kali!kwanini umeuliza hivyo mkuu?

nimeuliza kwa maana hii kitu inanichanganya sana, kuna watu wengine mnaweza hata mkagombana kama usipoenda kuoga baada maingiliano, sasa nikafikiri labda kuna maana zaidi tu ya kuoga!
 
Kwanini ni lazima kunawa baada ya kula? imagine umekula pilau na mara nyingi pilau inaliwa kwa mkono,au umekula ice cream ya bakhresa unaonaje usipo nawa baada ya hapo?

Lakini nikila pilau kwa kijiko sinawi, hata Ice cream ya Bakhresa, kama haijadondokea mikononi basi sina ulazima wa kunawa, ila kwa hili la baada ya maingiliano ndio sielewi kwa kuoga ni ishu kubwa hivyo!
 
napenda kujua, hivi ni kwa nini wanasema ni lazima kuoga baada ya kufanya Mapenzi?
unajiskia vizuri ukioga na unapata nguvu hata ukutaka kuongeza bao jengine unaweza bila tatizo..na vile vile lile jasho la pale sio zuri kabisa linachosha mwili..
 
Huo ulazima umewekwa na nani. We jifanyie then ishia zako. Hayo mambo ya kuoga ni mbwembwe tu na uongo ulioenezwa na wachache.
 
Eti ukifanya mapenzi unapata jini linaitwa janaba. Jini hilo linasababisha magari yaanguke, au linasababisha mikosi, na wakati mwingine jini hilohilo linaenda kuwanyonya watoto damu na watoto wanakuwa wamebemendwa.
 
mmh..I wonder... what is the age of this guy! I think he is below 14yrs!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…